Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Wanaukumbi
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1.Katiba Mpya au kupambana na 2.Janga la Corona na 3.Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.

Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.

Nakushauri Mbowe zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.

Katiba mpya ni muhimu kuliko kitu chochote.
 
Wanachodai ni kitu muhimu ila aina ya uwasirishaji wa maombi yao umekua wa kibabe sana..Mbowe na wenzake wasidhani Ss wa Tz ni wajinga kiasi cha kuatarisha amani yetu kwaajili ya maslahi yao..Wakishakunywa Konyagi utaskia tukutane barabarani then yeye anaenda zake Dubai...atuache kwanza.
 
Unajua Mbowe, hiyo ni tabia yake kutisha watu alishawahi kuwafukuza Chadema, Kitila Mkumbo, Zitto, Kafulila, kisha walihoji katiba ya Chadema. Leo anamtisha raia eti anataka katiba mpya.

Teh teh teh
 
Acha ujinga wewe!!! Unadhani maccm au Samia ndiyo wenye hati miliki ya Tanzania? Mfumo wa vyama vingi ni lazima uendane na Katiba ya vyama vingi na huyo Samia kuambiwa ukweli kuhusu Katiba mpya si kumtisha. Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.

Wanaukumbi
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1.Katiba Mpya au kupambana na 2.Janga la Corona na 3.Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.

Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.

Nakushauri Mbowe zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
 
Yani chadema na mbowe wanashangaza sana kwa kukosa shukrani.... yani Rais kuwambia wasubiri kwani ni kosa? Ni lazima Mbowe ajue maneno ya kukera na kutoa amri kwa Rais hayafai na yanadhalilisha taasisi ya URAIS.

Mbowe leo hii ameshasahau?
 
Wananchi wanauliza Mbowe ni Mfalme Chadema? Kila siku kiongozi ni yeye atakayejaribu kugombea anafukuzwa chama alikuwepo wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia, halafu anataka katiba daaah
Cecil Mwambe nani alimfukuza ?
 
Mbowe tena,

Amesema HATOKUBALI HAWATOKUBALI kuufuata ushauri wa mh. Rais wa kutoruhusu mikutano ya hadhara kipindi hiki cha "kuufufua uchumi" wetu ulioyumba kutokana na janga la UGONJWA WA CORONA.

Mbowe amekwenda mbali kwa KUMLAZIMISHA MH.RAIS aenende ANAVYOTAKA YEYE kuhusu mchakato wa Katiba.

Imefikia mahali ile misimamo ya hayati JPM dhidi ya ndugu zetu hawa IENDELEZWE.

Hizi nchi za Kiafrika hazitopata maendeleo kwa kuendeleza "pang'ang'a" za akina MBOWE.

Ulibarali wautakao kamwe hautoyabadilisha maisha yetu magumu na kuchochea uchumi wetu.

Hiki ni kipindi mahsusi cha waitwao MATAGA na vijana wenzangu wa CCM kusimama imara kuwajibu kwa hoja ndugu zetu hawa wasio na chembe ya huruma kwa WATANZANIA zaidi ya kuendeleza maslahi ya matumbo yao na kunufaika na RUZUKU zinazopatikana kutokana na JASHO LETU.

#VijanaWaTanzaniaTukoPamojaNaMh.RaisSSH
#VijanaWaCCMTukoMachoNaWapendaVuruguHawa
#KatibaMpyaSiTakwaLaWatanzaniaWote
#KaziIendelee
#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfCCM
 
Wanachodai ni kitu muhimu ila aina ya uwasirishaji wa maombi yao umekua wa kibabe sana..Mbowe na wenzake wasidhani Ss wa Tz ni wajinga kiasi cha kuatarisha amani yetu kwaajili ya maslahi yao..Wakishakunywa Konyagi utaskia tukutane barabarani then yeye anaenda zake Dubai...atuache kwanza.
Umemaliza.. 👏
 
Mbowe ni fala tu. hawezi andamana, tuko hapa tunasubiri watakaoandamana tuwafumue vichwa vyao. nchi haiongozwi mitandaoni.
 
Back
Top Bottom