Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Mtu akiwa ana njaa hapewi bilauri ya maji, anatakiwa apewe chakula.
Katiba ni muhimu na Mungu akipenda itakuja tu haikwepeki lakini tunaambiwa tusubiri. Upinzani siyo maana yake kupinga tu, watanzania siyo wajinga wengi wa viongozi wa kisiasa ni wachumia tumbo. We need strong institute hata wapinzani watengeneze vyama vyao imara na si kuwa na mtu imara kwani akiondoka ndiyo kila kitu kimeharibika. Mnamtukana Zito lakini kuna mambo vyama vingine vya siasa mjifunze kwake. ACT Wazalendo wamefanikiwa kuunda serikali ya kitaifa Zanzibar hivyo huko mbele wanaweza kufanya mambo makubwa sana katika midani ya kisiasa Tanzania.
 
Utakuwa kwa vyovyote vile wewe ni mjinga maana unaongea ujinga mleta mada.

Suala la kufanya mikutano ya kisiasa ya hadhara halihitaji ruhusa ya kiumbe yeyote ktk ardhi ya Tanzania. Ni haki ya kikatiba.

Kumpa muda SSH, nalo halimhusu. Taifa hili siyo familia au mali binafsi ya Samia.

Mbowe yuko sahihi.
 
Rais Samia amekuwa tofauti na mtangulizi wake na kuna mabadiliko ameyafanya ndani siku 100 ikiwemo kumuondoa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Ole Sabaya aliyekuwa akilalamikiwa. Kumuondoa DPP, kuachia wafungwa ie. Masheikh Uamsho, tumeanza kuona mwanga wa Haki na Sheria.
Mbowe na wafuasi wake wanataka kumpangia jinsi ya kuongoza nchi tena kwa vitisho.
 
Acha ujinga wewe!!! Unadhani maccm au Samia ndiyo wenye hati miliki ya Tanzania? Mfumo wa vyama vingi ni lazima uendane na Katiba ya vyama vingi na huyo Samia kuambiwa ukweli kuhusu Katiba mpya si kumtisha. Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.

Mjinga wewe unayeshikia akili na Mbowe.
 
Utakuwa kwa vyovyote vile wewe ni mjinga maana unaongea ujinga mleta mada.

Suala la kufanya mikutano ya hadhara halihitaji ruhusa ya kiumbe yeyote ktk ardhi ya Tanzania. Ni haki ya kikatiba.

Kumpa muda SSH, nalo halimhusu. Taida siyo familia au mali binafsi ya Samia.

Mbowe yuko sahihi.
Sasa ifanyeni hiyo mikutano bila ya vibali vya POLISI......

Yakiwakuta HATUTOWASIKITIKIA.....

Naamini MDUDE hatotaka kurudi tena RUMANDE.....
 
Kwani rais anatakiwa afanye kwa utashi wake au katiba na matakwa ya wananchi wake? Tatizo wewe unaangalia mambo kwa jicho la uislamu
Wananchi hawakilishwi kwenye mitandao.
Sisi wananchi hiyo movement yenye kulazimisha Hatutakiiiiii
 
Sasa ifanyeni hiyo mikutano bila ya vibali vya POLISI......
Polisi itatokewa taarifa siyo kuomba kibali ndiyo katiba isemavyo.

Lkn kauli ya rais SSH itapuuzwa na akiendelea kushupaza shingo naye atapuizwa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Utakuwa kwa vyovyote vile wewe ni mjinga maana unaongea ujinga mleta mada.

Suala la kufanya mikutano ya kisiasa ya hadhara halihitaji ruhusa ya kiumbe yeyote ktk ardhi ya Tanzania. Ni haki ya kikatiba.

Kumpa muda SSH, nalo halimhusu. Taida siyo familia au mali binafsi ya Samia.

Mbowe yuko sahihi.
Wanaume hawazungumzi. Wanafanya.

Mbowe apunguze kuongea. Afanye tuone.

Kwanza nchi hii, hakuna kitu chochote cha maana wamewahi kukipata upinzani bila ridhaa yenyewe ya hao CCM.

Ni kitu gani wamewahi kushinkiza wakakipata?

Hakuna.
 
Wewe nimeshakudharau, na kamwe usini quote kipuuzi. Otherwise nitakuweka kwenye ignore list.
Kumbe tabia ya kutishiatishia wamewarithisha hadi nyie wake zao.
Mpuuzi kabisa, unanitisha mimi? Mimi huyuhuyu?
 
Back
Top Bottom