Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Tukatae watanzania wanaotaka kutugawa kwa itikadi za vyama vya siasa. Tukatae watanzania wanapandikiza mbegu za chuki ili tugawa. UMOJA wetu ndio ushindi, hata Katiba Mpya itapatikana tukiwa tumeshikamana na kuheshimiana. Hii nchi ni yetu sote, kila mtanzania ana Haki sawa siyo ya Chadema na Mbowe.
 
Binafsi sifungamani na kauli za vitisho, ila hili linafanyika labda ni katika ile hali ya kuonyesha msisitizo wa jambo lenyewe kutokana na umuhimu wake.
Upo sahihi bt kauli zake zinaleta chuki. any way sijui wamejipangeje...bt they better to be Worst ili kufanikisha hili Lisije ishia hewani kama movement zao nyingi wanazoanzisha wanashindwa kufikia Malengo.
 
Utakuwa kwa vyovyote vile wewe ni mjinga maana unaongea ujinga mleta mada.

Suala la kufanya mikutano ya kisiasa ya hadhara halihitaji ruhusa ya kiumbe yeyote ktk ardhi ya Tanzania. Ni haki ya kikatiba.

Kumpa muda SSH, nalo halimhusu. Taida siyo familia au mali binafsi ya Samia.

Mbowe yuko sahihi.

Tunao uzoefu wa kutosha sasa:

Mmoja wa Wapumbavu wakubwa nchini ambaye hujui hata haki za vyama vya upinzani na haki za uraia katika kusimamia demokrasia ya kweli nchini. Kwa UTAAHIRA mkubwa uliokuwa nao unataka uchaguzi kama uliotokea October, 2020 wa kuiba na kupora kura mtutu wa bunduki ulliosababisha majeruhi na vifo vya kutisha nchini kwa kusimamiwa na polisiccm, jeshi na Tume FAKE ya uchaguzi uendelee. Nchi ina miaka 60 ya uhuru lakini kila kitu ni hovyo tu hakuna hata kimoja chenye ahueni lakini ZWAZWA wewe hulioni hilo,

Hasara kubwa kwa taifa ni nyie pro-Chadema JF mwaka wa 20 sasa mmekuwa mateka wa DJ Mbowe kila uharo anaosema mnameza tu.
 
Kama mna nguvu hizo mngefumua korona isiharibu mwezi ule wa 3
Tuna uzoefu wa kutosha sasa:

Wanaukumbi
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1.Katiba Mpya au kupambana na 2.Janga la Corona na 3.Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.

Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.

Nakushauri Mbowe zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
Wewe mtanzania au wewe mpuuzi fulani wa CCM?
Katiba ya wananchi ilitakiwa miaka 30 iliyopita. HUSUBIRIWI MTU.
 
Hao 19 ni wabunge wa majimbo yapi?!!!
wajameni nisaidieni, yaani ni wabunge wasioruhusiwa kufanya mikutano na wananchi?!?,sasa kama hawaruhusiwi kufanya mikutano na wananchi ni wabunge wa nini sasa!!! bora viti maalum vifutwe kabisakabisa, maana kero zetu wanazipata wapi?!? kwenye magazeti?!? au mitandaoni!!!, kama hawawezi kuja kuongea na wanachi basi hawafai kuwepo
 
Wananchi wanauliza Mbowe ni Mfalme Chadema? Kila siku kiongozi ni yeye atakayejaribu kugombea anafukuzwa chama alikuwepo wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia, halafu anataka katiba daaah
Lini wananchi tulikaa na kukubaliana kwamba sasa' mahitaji yetu ni kupambana na corona na kuinua uchumi?! Msitupangie kwa maslahi yenu. CCM siyo wanachi, ni genge la wakora.
 
Upo sahihi bt kauli zake zinaleta chuki. any way sijui wamejipangeje...bt they better to be Worst ili kufanikisha hili Lisije ishia hewani kama movement zao nyingi wanazoanzisha wanashindwa kufikia Malengo.
Kwa mazingira ya katiba yetu na jamii ya kitanzania jinsi ilivyo issue kama hii maamuzi ya mwisho yatategemea matakwa ya kiongozi mkuu hatakama hili ni takwa la kisheria. Kinyume na hapo ni sawa na kelele za mbwa wakati mwenye nyumba kalala, Kumbuka siku zote haki haiombwi ila haki inadaiwa swali ni je! ujasiri huo upo?.
 
Mmoja wa Wapumbavu wakubwa nchini ambaye hujui hata haki za vyama vya upinzani na haki za uraia katika kusimamia demokrasia ya kweli nchini. Kwa UTAAHIRA mkubwa uliokuwa nao unataka uchaguzi kama uliotokea October, 2020 wa kuiba na kupora kura mtutu wa bunduki ulliosababisha majeruhi na vifo vya kutisha nchini kwa kusimamiwa na polisiccm, jeshi na Tume FAKE ya uchaguzi uendelee. Nchi ina miaka 60 ya uhuru lakini kila kitu ni hovyo tu hakuna hata kimoja chenye ahueni lakini ZWAZWA wewe hulioni hilo,
“Ombi la Mama Samia kwamba tumpe muda hatupo tayari kumpa muda na natoa agizo kwa Viongozi Nchi nzima wajiandae kwa mikutano ya hadhara siku ambayo tutaitangaza”———M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe leo kwenye Kongamano la BAVICHA Tabata, DSM.

Mlivyokuwa mapunguani mnashangilia, si mnashikiwa akili na Mbowe jiandaeni na maandamano au maandamano yenu kama kawaida mnafanyia JF.
 
Kwani rais anatakiwa afanye kwa utashi wake au katiba na matakwa ya wananchi wake? Tatizo wewe unaangalia mambo kwa jicho la uislamu

Back
Top Bottom