Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
wale covid si ni wabunge?!? wao hawaruhusiwi kufanya mikutano?!? hebu nijuze mzee mi silijui hiloAna wabunge majimboni kwani?.
kina nani?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wale covid si ni wabunge?!? wao hawaruhusiwi kufanya mikutano?!? hebu nijuze mzee mi silijui hiloAna wabunge majimboni kwani?.
kina nani?.
Hao 19 ni wabunge wa majimbo yapi?!!!wale covid si ni wabunge?!? wao hawaruhusiwi kufanya mikutano?!? hebu nijuze mzee mi silijui hilo
Upo sahihi bt kauli zake zinaleta chuki. any way sijui wamejipangeje...bt they better to be Worst ili kufanikisha hili Lisije ishia hewani kama movement zao nyingi wanazoanzisha wanashindwa kufikia Malengo.Binafsi sifungamani na kauli za vitisho, ila hili linafanyika labda ni katika ile hali ya kuonyesha msisitizo wa jambo lenyewe kutokana na umuhimu wake.
Utakuwa kwa vyovyote vile wewe ni mjinga maana unaongea ujinga mleta mada.
Suala la kufanya mikutano ya kisiasa ya hadhara halihitaji ruhusa ya kiumbe yeyote ktk ardhi ya Tanzania. Ni haki ya kikatiba.
Kumpa muda SSH, nalo halimhusu. Taida siyo familia au mali binafsi ya Samia.
Mbowe yuko sahihi.
Baada ya jiwe kugeuka kokoto naona mpinga kitimoto umerudiWanayapunguza wananchi siyo Mbowe na wafuasi wake.
Wewe ndiye unaengalia udini, mleta mada hii, hakuna alipotaja imani ya mtu, wala huo Uislamu wenyewe.Kwani rais anatakiwa afanye kwa utashi wake au katiba na matakwa ya wananchi wake? Tatizo wewe unaangalia mambo kwa jicho la uislamu
Huyu alikuwa hana utu. Alijawa na roho ya uuwaji. Rais SSH atatusikiliza tu! Nina uhakika 100%Hamkumpuuza hayati JPM....
Hasara kubwa kwa taifa ni nyie pro-Chadema JF mwaka wa 20 sasa mmekuwa mateka wa DJ Mbowe kila uharo anaosema mnameza tu.
Tuna uzoefu wa kutosha sasa:Kama mna nguvu hizo mngefumua korona isiharibu mwezi ule wa 3
Mhh sikuelewi ujue🤣wale covid si ni wabunge?!? wao hawaruhusiwi kufanya mikutano?!? hebu nijuze mzee mi silijui hilo
unaujua wajihi wa mleta uzi ?Wewe ndiye unaengalia udini, mleta mada hii, hakuna alipotaja imani ya mtu, wala huo Uislamu wenyewe.
Wewe mtanzania au wewe mpuuzi fulani wa CCM?Wanaukumbi
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1.Katiba Mpya au kupambana na 2.Janga la Corona na 3.Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.
Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.
Nakushauri Mbowe zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
wajameni nisaidieni, yaani ni wabunge wasioruhusiwa kufanya mikutano na wananchi?!?,sasa kama hawaruhusiwi kufanya mikutano na wananchi ni wabunge wa nini sasa!!! bora viti maalum vifutwe kabisakabisa, maana kero zetu wanazipata wapi?!? kwenye magazeti?!? au mitandaoni!!!, kama hawawezi kuja kuongea na wanachi basi hawafai kuwepoHao 19 ni wabunge wa majimbo yapi?!!!
Lini wananchi tulikaa na kukubaliana kwamba sasa' mahitaji yetu ni kupambana na corona na kuinua uchumi?! Msitupangie kwa maslahi yenu. CCM siyo wanachi, ni genge la wakora.Wananchi wanauliza Mbowe ni Mfalme Chadema? Kila siku kiongozi ni yeye atakayejaribu kugombea anafukuzwa chama alikuwepo wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia, halafu anataka katiba daaah
Dini imeingiaje hapo mazee ?Kwani rais anatakiwa afanye kwa utashi wake au katiba na matakwa ya wananchi wake? Tatizo wewe unaangalia mambo kwa jicho la uislamu
Kwa mazingira ya katiba yetu na jamii ya kitanzania jinsi ilivyo issue kama hii maamuzi ya mwisho yatategemea matakwa ya kiongozi mkuu hatakama hili ni takwa la kisheria. Kinyume na hapo ni sawa na kelele za mbwa wakati mwenye nyumba kalala, Kumbuka siku zote haki haiombwi ila haki inadaiwa swali ni je! ujasiri huo upo?.Upo sahihi bt kauli zake zinaleta chuki. any way sijui wamejipangeje...bt they better to be Worst ili kufanikisha hili Lisije ishia hewani kama movement zao nyingi wanazoanzisha wanashindwa kufikia Malengo.
“Ombi la Mama Samia kwamba tumpe muda hatupo tayari kumpa muda na natoa agizo kwa Viongozi Nchi nzima wajiandae kwa mikutano ya hadhara siku ambayo tutaitangaza”———M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe leo kwenye Kongamano la BAVICHA Tabata, DSM.Mmoja wa Wapumbavu wakubwa nchini ambaye hujui hata haki za vyama vya upinzani na haki za uraia katika kusimamia demokrasia ya kweli nchini. Kwa UTAAHIRA mkubwa uliokuwa nao unataka uchaguzi kama uliotokea October, 2020 wa kuiba na kupora kura mtutu wa bunduki ulliosababisha majeruhi na vifo vya kutisha nchini kwa kusimamiwa na polisiccm, jeshi na Tume FAKE ya uchaguzi uendelee. Nchi ina miaka 60 ya uhuru lakini kila kitu ni hovyo tu hakuna hata kimoja chenye ahueni lakini ZWAZWA wewe hulioni hilo,
Kwani katiba yao inasemaje?Wangeanza na Katiba Ya chama chao Kwanza....! We M/kiti Kang'ang'ana Kwenye Kiti Ka Ruba.
Kwani rais anatakiwa afanye kwa utashi wake au katiba na matakwa ya wananchi wake? Tatizo wewe unaangalia mambo kwa jicho la uislamu