kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Hata mimi sina imani nae hata kidogoSijui kwanini wanachadema wanamuamini Jaji.
"Anaemlipa mpiga zumari ndiye anaechagua wimbo"
Sina imani na Jaji Tiganga.
Mpaka saa 8 mkongweJaji hajaingia tu wakuu ? Ni saa tatu na dk 50 sasa
Saa 8:00 mchana Mkuu.Jaji hajaingia tu wakuu ? Ni saa tatu na dk 50 sasa
... watatiririka wakiongozwa na mawakili wao (utetezi). Upande wa mashataka watawa-cross examine. Pia, mashahidi upande wa utetezi wataitwa mahakamani kueleza wanachokielewa kadiri watakavyoulizwa maswali na mawakili.Mkuu swali la nyongeza tafadhali, kujitetea kunaongozwa na Mawakili au watamwanchia Mwamba atiririke.....japo ni maombi yangu leo iwe siku njema kwa Kamanda na Makomandoo kufurahia na familia zao.
Wengine wanataka wanfundishe jaji jinsi ya kufanya kazi yake🤔.Wengi wao wanataka mahakama isiwe huru hata kidogo. Wanataka Jaji aamue wanavyotaka.
Jaji anatakiwa apitie jalada na kuangalia ushahidi uliotolewa na wala sio kutoa maamuzi kwa kusikiliza presha za wafuasi wa wanasiasa.
Mahakama inatakiwa kutoa maamuzi bila yupata presha.
... inawaweza kumchukua jaji hadi masaa 6 kusoma hukumu.Hii ndio habari kuu inayosubiliwa kwa hamu na wote wanaoifuatilia hii kesi ndani na nje ya nchi. Nadhani kwa jinsi kesi imekuwa na mambo mengi na vile mashahidi wameulizwa tani za kutosha za maswali, hata hiyo nyaraka atakayosoma Judge itakuwa na pages nyingi sana, maana itakuwa na summary ya mwenendo wote na ushahidi ulivyotolewa na vielelezo vyake kisha ndio tamko la mahakama based on the truth /evidences.
Kwa tulio na interests na mambo ya sheria, kuna jambo la kujifunza kutokana na kesi hii ilivyo.
Ngoja tusubiri.
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Ndio Kesi inaanza rasmi Sasa,Mimi ni mweupe kabisa kuhusu mambo ya Sheria na Mahakama..je FAM akikutwa na kesi ya kujibu what is next??..
Jaji tafazali Kunakesi yakujibu hapo!!
Wacha tujue vizuri uwezo wa polosi wetu!!
Wacha kibatala awabatueee
awadhalilishe na tunataka Sirro atoe ushahidi wake ikiwezekana nayule mazaa bosiwake alotuambia mbowe alijisingizishia katiba naye aje atueleze anayoyajua
Atawabariki tu hata kama haikutoki moyoni! Mungu anayaona yaliyo sirini,Mungu ni mwenye nguvu pia hashindwi penye ugumu anaweka wepesiMungu wa mbinguni awabariki nyote.
Mungu wa mbinguni mbariki Freeman Mbowe
Mungu wa mbinguni awabariki makomandoo!
Siko kisiasa manka!Atawabariki tu hata kama haikutoki moyoni! Mungu anayaona yaliyo sirini,Mungu ni mwenye nguvu pia hashindwi penye ugumu anaweka wepesi
Nahisi anakopi kwa Martin na kupaste huku kwa sababu hakuna utofauti wa uwasilishaji wa uandishi.