Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Jaji tafazali Kunakesi yakujibu hapo!!
Wacha tujue vizuri uwezo wa polosi wetu!!
Wacha kibatala awabatueee
awadhalilishe na tunataka Sirro atoe ushahidi wake ikiwezekana nayule mazaa bosiwake alotuambia mbowe alijisingizishia katiba naye aje atueleze anayoyajua
 
Mbowe ni Shujaa

FB_IMG_1595009729173.jpg
 
Hii ndio habari kuu inayosubiliwa kwa hamu na wote wanaoifuatilia hii kesi ndani na nje ya nchi. Nadhani kwa jinsi kesi imekuwa na mambo mengi na vile mashahidi wameulizwa tani za kutosha za maswali, hata hiyo nyaraka atakayosoma Judge itakuwa na pages nyingi sana, maana itakuwa na summary ya mwenendo wote na ushahidi ulivyotolewa na vielelezo vyake kisha ndio tamko la mahakama based on the truth /evidences.

Kwa tulio na interests na mambo ya sheria, kuna jambo la kujifunza kutokana na kesi hii ilivyo.
Ngoja tusubiri.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu swali la nyongeza tafadhali, kujitetea kunaongozwa na Mawakili au watamwanchia Mwamba atiririke.....japo ni maombi yangu leo iwe siku njema kwa Kamanda na Makomandoo kufurahia na familia zao.
... watatiririka wakiongozwa na mawakili wao (utetezi). Upande wa mashataka watawa-cross examine. Pia, mashahidi upande wa utetezi wataitwa mahakamani kueleza wanachokielewa kadiri watakavyoulizwa maswali na mawakili.
 
Wengi wao wanataka mahakama isiwe huru hata kidogo. Wanataka Jaji aamue wanavyotaka.

Jaji anatakiwa apitie jalada na kuangalia ushahidi uliotolewa na wala sio kutoa maamuzi kwa kusikiliza presha za wafuasi wa wanasiasa.

Mahakama inatakiwa kutoa maamuzi bila yupata presha.
Wengine wanataka wanfundishe jaji jinsi ya kufanya kazi yake🤔.
 
Hii ndio habari kuu inayosubiliwa kwa hamu na wote wanaoifuatilia hii kesi ndani na nje ya nchi. Nadhani kwa jinsi kesi imekuwa na mambo mengi na vile mashahidi wameulizwa tani za kutosha za maswali, hata hiyo nyaraka atakayosoma Judge itakuwa na pages nyingi sana, maana itakuwa na summary ya mwenendo wote na ushahidi ulivyotolewa na vielelezo vyake kisha ndio tamko la mahakama based on the truth /evidences.

Kwa tulio na interests na mambo ya sheria, kuna jambo la kujifunza kutokana na kesi hii ilivyo.
Ngoja tusubiri.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
... inawaweza kumchukua jaji hadi masaa 6 kusoma hukumu.
 
Jaji tafazali Kunakesi yakujibu hapo!!
Wacha tujue vizuri uwezo wa polosi wetu!!
Wacha kibatala awabatueee
awadhalilishe na tunataka Sirro atoe ushahidi wake ikiwezekana nayule mazaa bosiwake alotuambia mbowe alijisingizishia katiba naye aje atueleze anayoyajua

Huna lolote unalojua kuhusiana na criminal procedure. Wameshafunga ushahidi wao

Chukua ka tekno kako download crimina procedure act usome kifungu cha 230 utajua kinachotokea leo au siku ya leo ina mambo gani na usome kifungu cha 231 ujue nini kitakacho fanyika baadaye kama kesi itaendelea
 
Kwani martin ndio ana uwezo wa kuandika. Mbona rahisi sana. Ipo hivi. Shahidi akiulizwa swali, jqji anaachiwa sekunde kadhaa za kuandika. Kisha shahidi anajibu swali. Jaji anapata tena sekunde kadhaa za kuandika.

Wewe huoni tofauti ya muda unaotumika mahakamani na muda unaosoma ukiwa nyumbani? Kwa mtu anayeanza kusoma uzi ile page #1 hata ikiwa ndefu vipi hatazidi dk 40. Lakini uhalisia jambo lililokuwa linaendelea mahakamani ni la zaidi ya masaa 6.

Maranya mwenyewe anachukua huku anakimbizia kule jamuhuri ya twita.
Nahisi anakopi kwa Martin na kupaste huku kwa sababu hakuna utofauti wa uwasilishaji wa uandishi.
 
Back
Top Bottom