Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu submission yako haijitoshelezi.Hoja za Mawakili ndio hutoa maamuzi ya kesi yoyote ile kulingana na ushahidi na utetezi uliotolewa mahakamani.
Jaji lake ni kutamka adhabu au uhuru kwa mtuhumiwa.
Kibatala alikuwa na hoja mbili muhimu:
1. Safari ya Mbowe kule Dubai ilikuwa na baraka za dola
2.Huwezi kulipua au kuvunja kitu kisichokuwepo kwenye Mtaa fulani, Barabara fulani, Block fulani, plot fulani au shamba fulani.
Kariakoo au Sinza ni maeneo siyo " mahali"
Unachoweza kukipata kwenye eneo ni Hewa peke yake.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Naomba kutoa hoja!