johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilifikiri Tundu Lisu au JJ Mnyika wangefaa zaidi!Kwa ujumla wanastahili. Baraza hilo la CHADEMA, ni taasisi imara kuliko zote. Na ukiona kitu kinafanikiwa, ujue uongozi ni imara na wenye maono.
Labda hatagombea tena amesoma alama za nyakati!Mpaka asitaafu siyo kwamba asipochaguliwa
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha.
Source Tanzania Daima
My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema
Maendeleo hayana vyama!
Hana busara yule dadaMwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha.
Source Tanzania Daima
My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema
Maendeleo hayana vyama!
Bwashe unapendaga habari za CDM hadi basi. Si uunge mkono juhudi za CDM waziwazi?Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha.
Source Tanzania Daima
My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema
Maendeleo hayana vyama!
Siyo busara tu, ni mvuta bangi na msagaji. Hivyo hana maadili wala haiba ya uongozi.Hana busara yule dada
Hahahaaaaaa........ Bwashee Chadema inaendeshwa kwa kodi zetu kama ilivyo CCM ndio maana naipenda!Bwashe unapendaga habari za CDM hadi basi. Si uunge mkono juhudi za CDM waziwazi?
Mbowe atastaafu baada ya uchaguzi mkuu ndio maana anaandaa mrithi wake sasa!Ni kauli inayohitaji tafakari ya ndani sana.
1. Ipo siku Freeman Aikaeli Mbowe hatagombea tena nafasi ya Uenyekiti - CHADEMA inapaswa kuandaa viongozi
2. Mwenyekiti ana maono ya kuiona CHADEMA ikiiongozwa na Mwanamke; linaweza kuwa wazo gumu kukubalika kwa wengi kwa sababu kadhaa ikiwemo (i) Je kuna mwanamke anayeweza kukidhi uwezo wa kuwa Mwenyekiti CDM - Taifa (ii) Kauli hii inamaanisha nini kwa viongozi wanaume ndani ya CHADEMA ambao wana njozi za kuwania cheo cha Uenyekiti Taifa?
Ni suala la muda tu; Freeman Mbowe bado ana miaka mitano katika cheo cha Uenyekiti.
Amelibeba jahazi kwa muda mrefu sasa. Inawezekana ameona imetosha sasa aachie wengine waendeleze gurudumu.Mbowe atastaafu baada ya uchaguzi mkuu ndio maana anaandaa mrithi wake sasa!
Kiukweli hii saccos hakuna kidume atakayekubali tena kuiongoza kwani haina mvuto tena,sana sana hilo zigo atakabidhiwa mwanamama afe nalo huku akiwa remoted na DJ Makengeza
Hahahaaaaaa....... Itabidi maana hakuna namna mwenye chama ameshaamua!
Na ukizingatia hapatakuwa na ruzuku!Amelibeba jahazi kwa muda mrefu sasa. Inawezekana ameona imetosha sasa aachie wengine waendeleze gurudumu.
Chadema hawana mtindo wa kofia mbili, Lissu atakuwa Rais na mwenyekiti atakuwa mtu mwingine.