Mbowe: Natamani mrithi wangu kama Mwenyekiti Taifa atoke BAWACHA

Mbowe: Natamani mrithi wangu kama Mwenyekiti Taifa atoke BAWACHA

wote wangejitoa ufaham lakin si mdee na bulaya. hawa walishakuwa icon ya nguvu ya mwanamke katika kusimamia haki na uthabiti. mwisho wa safari ya heshma zao kijamii na kisiasa umeisha vibaya milele yote. hivi kweli fursa zote walizopata miaka 10 hawakuweza kuidhibiti njaa ili waitunze heshma yao! sasa kweli nimeamin zaid .. KAA KARIB NA MWANAMKE KATIKA KILA JAMBO, LAKIN KWA AKILI.
 
Kwa ujumla wanastahili. Baraza hilo la CHADEMA, ni taasisi imara kuliko zote. Na ukiona kitu kinafanikiwa, ujue uongozi ni imara na wenye maono.
He he he he[emoji28]
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa ujumla wanastahili. Baraza hilo la CHADEMA, ni taasisi imara kuliko zote. Na ukiona kitu kinafanikiwa, ujue uongozi ni imara na wenye maono.
 
Ni kauli inayohitaji tafakari ya ndani sana.
1. Ipo siku Freeman Aikaeli Mbowe hatagombea tena nafasi ya Uenyekiti - CHADEMA inapaswa kuandaa viongozi...
Hata biblia inasema ishi na mwanamke kwa akili..

Sasa kama huna akili ndio utajua hujui.

Kwaya ya mtakatifu Halima Mdee.


IMG_20201124_180357.jpeg
 
My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema

Maendeleo hayana vyama!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana, Kiko Wapi tena

NOTICE:
BADO NAFASI 8 ZA UBUNGE KUTOKA KWA MH RAISI MAGUFULI TAKE THE SEAT AND ENJOY THE MOVIE CDM ISHACHIMBIWA KABURI M KITAMBO BADO KUZIKWA TUU

yajayo yanafurahisha upo tayari ! [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom