Uchaguzi 2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

Watanzania mnaonekana kama mmechoka amani vile? Ninawaombea kwa Mungu mwikose hiyo amani ili nyie wenyewe, watoto wenu na vijuu kuu vyenu vije kumlilia Magufuli kama Wairaq na wasudani kasakazini hivi sasa wanafanya.

Msikufuru mungu ndugu zangu. Hakuna Uhuru mwingine kama huu mlio upata na hakuna haki nyingine kama hii mliyo ipata.

Msidanganyike kuwa wazungu ni wakombozi wenu. Hicho kitu hakipo. Mbona mnaonekana kama mmelogwa vile?

Magufuli hawa watanzania nina uhakika kuwa wamelogwa kwasababu naona kama hawajitambui vile?

Jamani Lissu ni demon ambaye amekuja kuwaharibia nchi yenu. Kwanini hamlioni hilo? Mnataka nini hasa? Oooh my God! Watanzania amkeni please! Mbona mnakuwa wajinga namna hiyo? Mnajua mtachekwa sana na ulimwengu kwa vitendo vyenu vya kubeza vyenu na kutukuza vya wenzenu? Mnataka Mungu awape nini nyie?

Nawaomba wote kuingalia hii clip amabyo imetrend sana wiki hizi mbili kwenye mitandao ya kijamii. Haya ndiyo mawazo ya wazungu juu yetu. Bado hamwuelewi tu?
 
Yani nasikia kwenye mafunzo ya wasimamizi huko,wasimamizi wakuu wanafundishwa namna ya kuukandamiza upinzani na kuhakikisha jiwe anapita kwa kura nyingiiii
 
tulia kamanda, tumejipanga kushinda
wao waendelee na sarakas zao za kitoto
 
 
Kmbuka kupigia Kura Lisu na chadema.
 
Ndiyo maneno yao,hata akiulizwa kati ya brazil na tz trh 28/10/2020 atashinda nani jibu litakuwa tz atashinda bao 6
 
CHADEMA, huu uchaguzi ushindi uko upande wenu. Ila muwe makini na mawakala ndio watakao waangusha. Hasa kule central pooling station
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…