Pre GE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mhubiri 3:1-8
 
Tunajuaje Kama Yeye Hakuhusika ?
 



Yeye ndie alitoa ndege ? Yeye ndie alilipa gharama?

Michango si ilitolewa na watanzania wote?

Tushajua your true colours 😂

Wakati Mbowe amefungwa Kwa ugaidi ulikuwa upande wa serikali

Leo unamwita Mbowe jabari la siasa za upinzani 😂

Ndio maana nakwambia wewe na mdude hamna tofauti
 
Akili yangu ni kubwa sana dogo na wala huwezi kuifikia hata robo
Huu upuuzi unaoonyesha hapa JF umeshakuchora wewe ni low IQ. Mtu mwenye akili hawezi kuwa chawa hata siku moja. Mtu mwenye akili kubwa hajitangazi bali matendo yake ndiyo yanamtangaza . Wewe ni kilaza wa kawaida tu unayejaribu kutoka kimaisha kwa kuwa chawa.
 
Hiyo ndege ilitafutwa na hao watanzania? Lissu wakati hajitambui na yuko mahututi ndiye aliyesema atafutiwe ndege ya kwenda Nairobi Kenya? Hao watanzania ndio walikuwa na lissu Nairobi kusimamia matibabu yake hatua kwa hatua?Embu acha ujinga wako hapa wewe
 
Dogo mimi ni akili kubwa na msema kweli na siyo chawa mimi.nimeshasema kama una njaa sema usaidiwe
 
Kwani Lissu ana kosa gani..? Kama kuna shutuma ana haki ya kikatiba kukemea kwa nguvu zote. Umeandika upuuzi
 
Dogo mimi ni akili kubwa na msema kweli na siyo chawa mimi.nimeshasema kama una njaa sema usaidiwe
Umeshawahi kuona mbu anamchangia damu binadamu? Takataka kama wewe utanisaidiq nini wakati uko humu kutembeza bakuli? Nasikia ulikuwa kwenye tagrija ya Mbowe jana nyumbani kwake ulifakamia mipombe hadi ukazima kwenye migomba. Kapuku mkubwa wewe unayeendekeza njaa kama mbwa koko.
 
Wewe kama unahitaji msaada sema tu usaidiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…