#COVID19 Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

Mwaka Jana kamanda mbowe alikuwa anajifungia nyuma yake kukiwa na bendera ya Taifa akihutubia nchi kuhusu corona.sina uhakika kama ataanza tena
 
Mwaka Jana kamanda mbowe alikuwa anajifungia nyuma yake kukiwa na bendera ya Taifa akihutubia nchi kuhusu corona.sina uhakika kama ataanza tena
Ndiyo ameshaanza tena, sijui atapata dola ngapi nchi ikiwekwa lockdown.
 
Unachekesha kwa kuhangaishwa na yasiokuhusu. Siku akifa wa kwako peleka hata kwa Mama ili wakutangazie.
 
Umeandika nini mkuu?
Umesoma vyema alichosema Mbowe kabla ya kuandika huu ujinga?
Kwanini usiwe na tabia ya kusoma kitu na kukitafakari kabla ya kuandika?
Ukifanya hivyo itakusaidia kupunguza kuandika UGORO.
Tatizo huyu mbwiga kigololi kikimshuka akili zinahama kichwani zinashuka chini.
 
Sifa kuu ya kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamuView attachment 1846661
Mbwa hawezi kumuongoza binaadamu, kwa maana kama nchi hii inaongozwa na ccm ambayo imejitoa ufahamu sasa hapo unadhani hiyo nchi watu wake wakoje? Ndio maana tunaona Mbowe anajitangaza kwa sifa kudungwa chanjo ya corona halafu kumbe kashindwa hata kushawishi ndugu yake kudungwa nae chanjo matokeo yake corona imempitia kama Magufuli.
 
Huyu Mbowe si ajabu familia yake haijachanjwa chanjo ya corona ila yeye anajitangaza wazi kwa sifa kuwa kadungwa Astrazeneca, sasa hiyo si akili mbovu wewe umejikinga halafu familia yako corona inapita nayo.
 
Wewe shida yako ulitaje tu hilo jina la Mbowe.
 
Hutaki au? Kafungue jalada porishi poshti chaaap!!!
 
Duh!!!! Mataga mna kazi!!! Ndugu yangu kafa kwa Corona mnataka nifiche!!!! Huu ugonjwa upo na kama hamchukui tahadhari itakuwa balaa!!!
 
Kama imekuuma chomoa Kwanza ujambe
 
sisi yanatuhusu nini sasa.hayuhusu na sisi tuna ya kwetu mbona hatuyatangazi humu ndani.
 
Imekuuma sana Mbowe kuwa alivyo! Meza wembe.
Na isitoshe hao "uma" wa watanzania wasio na imani naye ni kina nani kama si kina polepole na mwigulu/kabudi? (Ambao ni magarasa tupu). Au majaliwa aliyedai "jiwe" yupo mzima anachapa kazi wakati alishadanja ndiyo wa kuaminika MATAGA BURE KABISA!?
 
Samia hana nia ya dhati kabisa kupambana na corona ukiangalia mienendo yake

Yaani unakusanya watu morogoro na kuwaambia wasikusanyike?

Kama ni ujinga basi huu ni ujinga kiwango cha PhD
Good example of political oxymoron.
 
Ametoa taarifa kama/sababu:
..mwanafamilia
..hakuna sheria inayomzuia kufanya ivyo,matamko sio sheria
..katoa tahadhari ya uwepo wa korona,km m/kiti wa chama kikuu cha upinzani anaaminika na kuheshimika
Kama Rais wako kampa pole,ingekuwa ni uungwana sana na wewe kutoa pole kuliko kuhoji na kumkosea adabu kipindi hiki cha majonzi kwake
 
Kumbe ni mbinafsi kiasi cha kushindwa kuchanja familia nzima?

Kwani yeye anazo chanjo za kuchanja watu?

Hujui serikali haitaki chanjo kuingizwa nchini?

Serikali haiwezi kukwepa lawama kwa vifo vyote hivi tokea enzi za michai chai, nyungu, malimao na upuuzi wote wa awamu ile.
 
Alitokaje kuwa na wabunge 100 hadi kubaki mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…