Mbowe: Nimemwambia Rais Samia Mambo Mazito Sana, vijana wetu wana mihemko, nina deni sijui nitalipaje

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo.

“...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka hivi imekuwaje’ Kuna watu wengi ambao wamelia na mimi...nina deni ambalo sijui nitalilipaje," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Your browser is not able to display this video.


Source: Chadema Media
 
Tuna imani na Mwenyekiti. Hatuna shaka hata!!
 
Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia

Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani

Watz hatuko nae asijidanganye
Huwezi kutelekeza kitega uchumi Chenye uwezo wa kukupa zaidi ya Milioni 400 kwa mwezi bila kufanya kazi.

Hata iweje, labda wakuuuwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…