Mbowe: Nimemwambia Rais Samia Mambo Mazito Sana, vijana wetu wana mihemko, nina deni sijui nitalipaje

Mbowe anasema vijana wana mhemko, hao vijana ndio wamelia na yeye muda wote akiwa jela miezi 8, leo anasema wnaa mhemuko.

Mbowe ametoka jela straight Ikulu, very prematurely anakimbilia Ikulu.

Ilikua busara mbowe atoke jela aongee na wafuasi wake ambao wamekua nae kwa kipindi chote cha mateso kisha kama anaenda kwa huyo rais ambae alimuweka jela aende. Yeye ghafla amelimbilia kwa mtesi wake.

Wanasiasa wa Tanzania ni hovyo tu.
Alishapewa go ahead na wanasheria wake na baadhi ya washauri, wewe unawashwa na nini?
 
Deni gani aache uongo, ameenda ikulu kushukuru kwa kutolewa jela....Aache siasa sasa, WANACHADEMA tunataka viongozi wapya wenye maono ....siasa za ulaghai za Mbowe zimeshapitwa na wakati
Kwani wewe ni mwanachama wa vyama vingapi vya siasa? Hiyo kauli ya tunataka inatia kinyaa Kwa mtu anayejitambua! Hujatumwa na yeyote kumsemea! Na uccm wako usiolipa! Jichawa likubwa la Lumumba unawashwaje na cdm?
 
Gaidi mwenye ubora wake anataja sana neno haki wakati ukitumia haki yako ya kutaka kugombea uenyekiti wa chadema unauawa.
Nakushauri TU Kwa heshima, tafuta sumu unywe pamoja na supu ya kuku nitakuja kukulipia kwenye mazishi Yako! Kolimba mlimfanyaje huko ccm? Naibu mwenyekiti kanusurika mwaka juzi, hilo kwako ni sifa? Mpuuzi!
 
Propaganda kwa mazingira yale haziwezi kukosekana
Anayeweza kupokea propaganda na kuzielewa basi naye hatumii hakili na pia hajajua kuwa Mhe Rais tulie naye anataka nini?.Kwa mfano Mbowe angekataa kuonana na Rais madai ya upinzani nani angeyafikisha kwake, pia ingetokea Mbowe akamuomba Rais waonane naye angekataa nini kingetokea.Kwangu Mimi Mbowe ni mwanasiasa mwenye maono ya mbali yaani anaiona Leo wakati huohuo anaiona kesho.Nimalizie kwa kusema where there is dialogue everything can be resolved. Mama anazidi kuupiga mwingi#KAZI IENDELEE#
 
Angekuwa yule muhuni wa ughaibuni angeropoka ropoka hayo mambo mazito kutafuta sifa
 
Anayeweza kupokea propaganda na kuzielewa basi naye hatumii hakili na pia hajajua kuwa Mhe Rais tulie naye anataka nini?.Kwa mfano Mbowe angekataa kuonana na Rais madai ya upinzani nani angeyafikisha kwake, pia ingetokea Mbowe akamuomba Rais waonane naye angekataa nini kingetokea.Kwangu Mimi Mbowe ni mwanasiasa mwenye maono ya mbali yaani anaiona Leo wakati huohuo anaiona kesho.Nimalizie kwa kusema where there is dialogue everything can be resolved. Mama anazidi kuupiga mwingi#KAZI IENDELEE#
Miezi nane yote alikuwa wapi?Ndio wale wale tu.
 
Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia

Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani

Watz hatuko nae asijidanganye
Naamini sasa Mbowe anatakiwa kuleta umoja ndani ya Chama chake. Kwanza, alete maridhiano kwa kuwasamehe wale Wabunge 19 ili waweze kufanya siasa za kibunge huko Bungeni. Ukiwaangalia wale wamama unawaona kabisa wana damu ya CHADEMA ila hawafanyi siasa za kibunge na kiharakati kwa kuwa hawana uhakika na Chama chao. CHADEMA ikiwasamehe na kuleta maridhiano naamini watafanya siasa zenye manufaa kwa chama chao. Hivi kweli kabisa Halima Mdee, Kaboyoka, Paresso, Ester Matiko, nk hawana u CHADEMA miilini mwao? CHADEMA wakicheza wakaacha kufanya siasa za kibunge watakuwa wamefanya kosa kubwa.

Pili, Mbowe ana nafasi sasa ya kuleta siasa za kistaarabu hapa nchini kwa kujenga hoja za kisera, kuleta sera mbadala badala ya mihemko na matusi.Nilisikia akilisema hilo mbele ya Mh Rais. Naamini amegundua jinsi vijana wa chama chake walivyo na mihemko manake nimesikia akilitamka hilo kwa kinywa chake leo. Wakiendekeza na kuendeleza matusi watakuwa wanajitia kamba shingoni.
 
..mwanasiasa anayeonewa na kudhalilishwa hawezi kuwa na lugha ya kistaarabu kwa wanaomtendea ubaya.

..ikiwa Rais atatimiza ahadi yake ya kutenda HAKI vyama vyote atakuwa amefungua milango ya siasa za sera badala ya siasa za kulalamika na kushutumu.
 
Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia

Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani

Watz hatuko nae asijidanganye
Huyo mwamba ametengenezwa na kukomazwa kwa ajili ya kuleta mabadiliko.
Kifupi Mbowe ni mbeba maono. Huo ndo utofauti wake na wengine.
 
Deni gani aache uongo, ameenda ikulu kushukuru kwa kutolewa jela....Aache siasa sasa, WANACHADEMA tunataka viongozi wapya wenye maono ....siasa za ulaghai za Mbowe zimeshapitwa na wakati
Tukiwa na tume huru labda hizo siasa za kilaghai zitaisha. Tupeni tume huru
 
Watu hawataki kumpa muda

Ukweli utajulikana tu... Apewe muda..

Ili baadae tusije meza maneno
 
"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo.

“...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka hivi imekuwaje’ Kuna watu wengi ambao wamelia na mimi...nina deni ambalo sijui nitalilipaje," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

View attachment 2140951

Source: Chadema Media
FAM Bwana Kanifanya nicheke Mimi ni mmjawapo niliekua nimechukia
 
Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia

Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani

Watz hatuko nae asijidanganye
Ww na nani haupo nae acha kutumia plural kwenye ufiraun wako
 
Mbowe anasema vijana wana mhemko, hao vijana ndio wamelia na yeye muda wote akiwa jela miezi 8, leo anasema wnaa mhemuko.

Mbowe ametoka jela straight Ikulu, very prematurely anakimbilia Ikulu.

Ilikua busara mbowe atoke jela aongee na wafuasi wake ambao wamekua nae kwa kipindi chote cha mateso kisha kama anaenda kwa huyo rais ambae alimuweka jela aende. Yeye ghafla amelimbilia kwa mtesi wake.

Wanasiasa wa Tanzania ni hovyo tu.
Nimeudhika sana na ukweli nimevunjika moyo chadema haikuwa hivi kama ilivyo sasa
 
Back
Top Bottom