Mbowe: Nimemwambia Rais Samia Mambo Mazito Sana, vijana wetu wana mihemko, nina deni sijui nitalipaje

"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo.

“...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka hivi imekuwaje’ Kuna watu wengi ambao wamelia na mimi...nina deni ambalo sijui nitalilipaje," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

View attachment 2140951

Source: Chadema Media
Freeman amepevuka sana..Chama kina kazi sana

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia

Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani

Watz hatuko nae asijidanganye
hahahahahhahaha daah[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mbowe vs JK....hahahahaha wote wazee wa Saigoni wanayamaliza pale saigoni kisaigoni saigoni.

PCM amepata msamaha saigoni ndio maana mnamuona hasumbuliwi mjini..
 
Ila mwenyekiti atuambie fungu la wale Covid 19 kila mwezi linaingia kwenye account ya nani?..
 
"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo.

“...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka hivi imekuwaje’ Kuna watu wengi ambao wamelia na mimi...nina deni ambalo sijui nitalilipaje," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

View attachment 2140951

Source: Chadema Media
Mbowe aache maigizo, mbowe alikuwa zamani, wewe unaachiwa toka jela break ya kwanza Ikulu kwa aliyekuweka jela, ni weakness kubwa sana, ni wazi chadema wameshindwa vita, huwezi ku-sarender kwa kiwango hichi, Ivi Basigiye ama Bobi Wine kule uganda anaweza kufanya alichofanya huyu mumuitaye kiongozi mkuu wa upinzani.,

Watanzania tuna hang kwakweli, tumekosa viongozi wapambanaji na waaminifu, amekaa jela chini ya mwaka mmoja wanapiga magoti kwa rais ata tundu lissu amekuwa poor kiasi kile kungoja rais belgium ampigie kilio, maalim seif hakuwa ivi, ni vile tanzania bado tunahitaji kiongozi wakututoa kwenye haya makucha ya mtawala wa ccm
 
Siasa unazotaka za kuviziana kwa chama kinachojinasibu cha demokrasia na maendeleo hazina nafasi, tafuta pahala pengine ukazipate.

Msimamo pekee bila kuongozwa na hekima na busara ni upuuzi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mbowe aache maigizo, mbowe alikuwa zamani, wewe unaachiwa toka jela break ya kwanza Ikulu kwa aliyekuweka jela, ni weakness kubwa sana, ni wazi chadema wameshindwa vita, huwezi ku-sarender kwa kiwango hichi, Ivi Basigiye ama Bobi Wine kule uganda anaweza kufanya alichofanya huyu mumuitaye kiongozi mkuu wa upinzani.,

Watanzania tuna hang kwakweli, tumekosa viongozi wapambanaji na waaminifu, amekaa jela chini ya mwaka mmoja wanapiga magoti kwa rais ata tundu lissu amekuwa poor kiasi kile kungoja rais belgium ampigie kilio, maalim seif hakuwa ivi, ni vile tanzania bado tunahitaji kiongozi wakututoa kwenye haya makucha ya mtawala wa ccm
Mbowe anasema vijana wana mhemko, hao vijana ndio wamelia na yeye muda wote akiwa jela miezi 8, leo anasema wnaa mhemuko.

Mbowe ametoka jela straight Ikulu, very prematurely anakimbilia Ikulu.

Ilikua busara mbowe atoke jela aongee na wafuasi wake ambao wamekua nae kwa kipindi chote cha mateso kisha kama anaenda kwa huyo rais ambae alimuweka jela aende. Yeye ghafla amelimbilia kwa mtesi wake.

Wanasiasa wa Tanzania ni hovyo tu.
 
"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo.

“...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka hivi imekuwaje’ Kuna watu wengi ambao wamelia na mimi...nina deni ambalo sijui nitalilipaje," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

View attachment 2140951

Source: Chadema Media
Kwakweli this guy is very very wise...Hajawahi niangusha huyu. Mvumilivu sana na mwenye haiba ya kweli ya uongozi...Mimi ni CCM kindakindaki lakini yule anayeishi ahafi kumi za mwana "TANU" nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko....
 
"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo.

“...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka hivi imekuwaje’ Kuna watu wengi ambao wamelia na mimi...nina deni ambalo sijui nitalilipaje," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

View attachment 2140951

Source: Chadema Media
We love you Man of God Freeman MBOWE
 
Mbowe anasema vijana wana mhemko, hao vijana ndio wamelia na yeye muda wote akiwa jela miezi 8, leo anasema wnaa mhemuko.

Mbowe ametoka jela straight Ikulu, very prematurely anakimbilia Ikulu.

Ilikua busara mbowe atoke jela aongee na wafuasi wake ambao wamekua nae kwa kipindi chote cha mateso kisha kama anaenda kwa huyo rais ambae alimuweka jela aende. Yeye ghafla amelimbilia kwa mtesi wake.

Wanasiasa wa Tanzania ni hovyo tu.
Wewe ndio wa hovyo zaidi hujui alikutana na viongozi wake Nyumbani na kusema ataongea na Wananchi wakati ukifika sasa yupo na familia Tarehe 6 ndio Kazi inaanza
 
Deni gani aache uongo, ameenda ikulu kushukuru kwa kutolewa jela....Aache siasa sasa, WANACHADEMA tunataka viongozi wapya wenye maono ....siasa za ulaghai za Mbowe zimeshapitwa na wakati
Mi nilijua umezikwa na jiwe Chato.. kumbe upo unadanga
 
Back
Top Bottom