Freeman amepevuka sana..Chama kina kazi sana"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo.
“...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka hivi imekuwaje’ Kuna watu wengi ambao wamelia na mimi...nina deni ambalo sijui nitalilipaje," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
View attachment 2140951
Source: Chadema Media
hahahahahhahaha daah[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia
Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani
Watz hatuko nae asijidanganye
Unaumia ukiwa wap labda ?Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia
Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani
Watz hatuko nae asijidanganye
Kuliko Pole Pole na Shule yake ya Uongozi?Mbowe huwa namuelewa sana hapo Ufipa!
Mjane wa lile zimwi la pori la Burigi huhusiki na mambo yetu
Utakuwa una matatizo sanaAmpumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia
Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani
Watz hatuko nae asijidanganye
Mbowe aache maigizo, mbowe alikuwa zamani, wewe unaachiwa toka jela break ya kwanza Ikulu kwa aliyekuweka jela, ni weakness kubwa sana, ni wazi chadema wameshindwa vita, huwezi ku-sarender kwa kiwango hichi, Ivi Basigiye ama Bobi Wine kule uganda anaweza kufanya alichofanya huyu mumuitaye kiongozi mkuu wa upinzani.,"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo.
“...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka hivi imekuwaje’ Kuna watu wengi ambao wamelia na mimi...nina deni ambalo sijui nitalilipaje," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
View attachment 2140951
Source: Chadema Media
Siasa unazotaka za kuviziana kwa chama kinachojinasibu cha demokrasia na maendeleo hazina nafasi, tafuta pahala pengine ukazipate.Mbowe aache maigizo, mbowe alikuwa zamani, wewe unaachiwa toka jela break ya kwanza Ikulu kwa aliyekuweka jela, ni weakness kubwa sana, ni wazi chadema wameshindwa vita, huwezi ku-sarender kwa kiwango hichi, Ivi Basigiye ama Bobi Wine kule uganda anaweza kufanya alichofanya huyu mumuitaye kiongozi mkuu wa upinzani.,
Watanzania tuna hang kwakweli, tumekosa viongozi wapambanaji na waaminifu, amekaa jela chini ya mwaka mmoja wanapiga magoti kwa rais ata tundu lissu amekuwa poor kiasi kile kungoja rais belgium ampigie kilio, maalim seif hakuwa ivi, ni vile tanzania bado tunahitaji kiongozi wakututoa kwenye haya makucha ya mtawala wa ccm
Mbowe anasema vijana wana mhemko, hao vijana ndio wamelia na yeye muda wote akiwa jela miezi 8, leo anasema wnaa mhemuko.Mbowe aache maigizo, mbowe alikuwa zamani, wewe unaachiwa toka jela break ya kwanza Ikulu kwa aliyekuweka jela, ni weakness kubwa sana, ni wazi chadema wameshindwa vita, huwezi ku-sarender kwa kiwango hichi, Ivi Basigiye ama Bobi Wine kule uganda anaweza kufanya alichofanya huyu mumuitaye kiongozi mkuu wa upinzani.,
Watanzania tuna hang kwakweli, tumekosa viongozi wapambanaji na waaminifu, amekaa jela chini ya mwaka mmoja wanapiga magoti kwa rais ata tundu lissu amekuwa poor kiasi kile kungoja rais belgium ampigie kilio, maalim seif hakuwa ivi, ni vile tanzania bado tunahitaji kiongozi wakututoa kwenye haya makucha ya mtawala wa ccm
Kwakweli this guy is very very wise...Hajawahi niangusha huyu. Mvumilivu sana na mwenye haiba ya kweli ya uongozi...Mimi ni CCM kindakindaki lakini yule anayeishi ahafi kumi za mwana "TANU" nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko...."Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo.
“...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka hivi imekuwaje’ Kuna watu wengi ambao wamelia na mimi...nina deni ambalo sijui nitalilipaje," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
View attachment 2140951
Source: Chadema Media
We love you Man of God Freeman MBOWE"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo.
“...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka hivi imekuwaje’ Kuna watu wengi ambao wamelia na mimi...nina deni ambalo sijui nitalilipaje," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
View attachment 2140951
Source: Chadema Media
Sema wewe hauko nae!!.. Mwamba atakua Iringa Tarehe 6Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia
Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani
Watz hatuko nae asijidanganye
Tarehe 6 Yuko IringaNgoja tuone kifuatacho...
Wewe ndio wa hovyo zaidi hujui alikutana na viongozi wake Nyumbani na kusema ataongea na Wananchi wakati ukifika sasa yupo na familia Tarehe 6 ndio Kazi inaanzaMbowe anasema vijana wana mhemko, hao vijana ndio wamelia na yeye muda wote akiwa jela miezi 8, leo anasema wnaa mhemuko.
Mbowe ametoka jela straight Ikulu, very prematurely anakimbilia Ikulu.
Ilikua busara mbowe atoke jela aongee na wafuasi wake ambao wamekua nae kwa kipindi chote cha mateso kisha kama anaenda kwa huyo rais ambae alimuweka jela aende. Yeye ghafla amelimbilia kwa mtesi wake.
Wanasiasa wa Tanzania ni hovyo tu.
Labda wewe na mama yakoAmpumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia
Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani
Watz hatuko nae asijidanganye
Mi nilijua umezikwa na jiwe Chato.. kumbe upo unadangaDeni gani aache uongo, ameenda ikulu kushukuru kwa kutolewa jela....Aache siasa sasa, WANACHADEMA tunataka viongozi wapya wenye maono ....siasa za ulaghai za Mbowe zimeshapitwa na wakati
Wapi kamtaja mama Janeth? Hebu acha midemko isiyo na afya!Hivi moderator huyu bwana kazi yake kutukana kila siku hamumuoni? Kila siku anaongea ujinga! Hapa Mama Janet Magufuli anahusika nini?