Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Alishapewa go ahead na wanasheria wake na baadhi ya washauri, wewe unawashwa na nini?Mbowe anasema vijana wana mhemko, hao vijana ndio wamelia na yeye muda wote akiwa jela miezi 8, leo anasema wnaa mhemuko.
Mbowe ametoka jela straight Ikulu, very prematurely anakimbilia Ikulu.
Ilikua busara mbowe atoke jela aongee na wafuasi wake ambao wamekua nae kwa kipindi chote cha mateso kisha kama anaenda kwa huyo rais ambae alimuweka jela aende. Yeye ghafla amelimbilia kwa mtesi wake.
Wanasiasa wa Tanzania ni hovyo tu.
Huyu ni wa kurogwa tu atulie,domo hili halipoi .Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia
Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani
Watz hatuko nae asijidanganye
Kwani wewe ni mwanachama wa vyama vingapi vya siasa? Hiyo kauli ya tunataka inatia kinyaa Kwa mtu anayejitambua! Hujatumwa na yeyote kumsemea! Na uccm wako usiolipa! Jichawa likubwa la Lumumba unawashwaje na cdm?Deni gani aache uongo, ameenda ikulu kushukuru kwa kutolewa jela....Aache siasa sasa, WANACHADEMA tunataka viongozi wapya wenye maono ....siasa za ulaghai za Mbowe zimeshapitwa na wakati
Nakushauri TU Kwa heshima, tafuta sumu unywe pamoja na supu ya kuku nitakuja kukulipia kwenye mazishi Yako! Kolimba mlimfanyaje huko ccm? Naibu mwenyekiti kanusurika mwaka juzi, hilo kwako ni sifa? Mpuuzi!Gaidi mwenye ubora wake anataja sana neno haki wakati ukitumia haki yako ya kutaka kugombea uenyekiti wa chadema unauawa.
Anayeweza kupokea propaganda na kuzielewa basi naye hatumii hakili na pia hajajua kuwa Mhe Rais tulie naye anataka nini?.Kwa mfano Mbowe angekataa kuonana na Rais madai ya upinzani nani angeyafikisha kwake, pia ingetokea Mbowe akamuomba Rais waonane naye angekataa nini kingetokea.Kwangu Mimi Mbowe ni mwanasiasa mwenye maono ya mbali yaani anaiona Leo wakati huohuo anaiona kesho.Nimalizie kwa kusema where there is dialogue everything can be resolved. Mama anazidi kuupiga mwingi#KAZI IENDELEE#Propaganda kwa mazingira yale haziwezi kukosekana
Miezi nane yote alikuwa wapi?Ndio wale wale tu.Anayeweza kupokea propaganda na kuzielewa basi naye hatumii hakili na pia hajajua kuwa Mhe Rais tulie naye anataka nini?.Kwa mfano Mbowe angekataa kuonana na Rais madai ya upinzani nani angeyafikisha kwake, pia ingetokea Mbowe akamuomba Rais waonane naye angekataa nini kingetokea.Kwangu Mimi Mbowe ni mwanasiasa mwenye maono ya mbali yaani anaiona Leo wakati huohuo anaiona kesho.Nimalizie kwa kusema where there is dialogue everything can be resolved. Mama anazidi kuupiga mwingi#KAZI IENDELEE#
🤣🤣🤣Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia
Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani
Watz hatuko nae asijidanganye
Naamini sasa Mbowe anatakiwa kuleta umoja ndani ya Chama chake. Kwanza, alete maridhiano kwa kuwasamehe wale Wabunge 19 ili waweze kufanya siasa za kibunge huko Bungeni. Ukiwaangalia wale wamama unawaona kabisa wana damu ya CHADEMA ila hawafanyi siasa za kibunge na kiharakati kwa kuwa hawana uhakika na Chama chao. CHADEMA ikiwasamehe na kuleta maridhiano naamini watafanya siasa zenye manufaa kwa chama chao. Hivi kweli kabisa Halima Mdee, Kaboyoka, Paresso, Ester Matiko, nk hawana u CHADEMA miilini mwao? CHADEMA wakicheza wakaacha kufanya siasa za kibunge watakuwa wamefanya kosa kubwa.Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia
Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani
Watz hatuko nae asijidanganye
Naamini sasa Mbowe anatakiwa kuleta umoja ndani ya Chama chake. Kwanza, alete maridhiano kwa kuwasamehe wale Wabunge 19 ili waweze kufanya siasa za kibunge huko Bungeni. Ukiwaangalia wale wamama unawaona kabisa wana damu ya CHADEMA ila hawafanyi siasa za kibunge na kiharakati kwa kuwa hawana uhakika na Chama chao. CHADEMA ikiwasamehe na kuleta maridhiano naamini watafanya siasa zenye manufaa kwa chama chao. Hivi kweli kabisa Halima Mdee, Kaboyoka, Paresso, Ester Matiko, nk hawana u CHADEMA miilini mwao? CHADEMA wakicheza wakaacha kufanya siasa za kibunge watakuwa wamefanya kosa kubwa.
Pili, Mbowe ana nafasi sasa ya kuleta siasa za kistaarabu hapa nchini kwa kujenga hoja za kisera, kuleta sera mbadala badala ya mihemko na matusi.Nilisikia akilisema hilo mbele ya Mh Rais. Naamini amegundua jinsi vijana wa chama chake walivyo na mihemko manake nimesikia akilitamka hilo kwa kinywa chake leo. Wakiendekeza na kuendeleza matusi watakuwa wanajitia kamba shingoni.
TawireUlaaniwe na ufe usiku huu
Huyo mwamba ametengenezwa na kukomazwa kwa ajili ya kuleta mabadiliko.Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia
Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani
Watz hatuko nae asijidanganye
Tukiwa na tume huru labda hizo siasa za kilaghai zitaisha. Tupeni tume huruDeni gani aache uongo, ameenda ikulu kushukuru kwa kutolewa jela....Aache siasa sasa, WANACHADEMA tunataka viongozi wapya wenye maono ....siasa za ulaghai za Mbowe zimeshapitwa na wakati
FAM Bwana Kanifanya nicheke Mimi ni mmjawapo niliekua nimechukia"Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo.
“...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka hivi imekuwaje’ Kuna watu wengi ambao wamelia na mimi...nina deni ambalo sijui nitalilipaje," Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
View attachment 2140951
Source: Chadema Media
Pumbavu!Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia
Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani
Watz hatuko nae asijidanganye
Ww na nani haupo nae acha kutumia plural kwenye ufiraun wakoAmpumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia
Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani
Watz hatuko nae asijidanganye
Nimeudhika sana na ukweli nimevunjika moyo chadema haikuwa hivi kama ilivyo sasaMbowe anasema vijana wana mhemko, hao vijana ndio wamelia na yeye muda wote akiwa jela miezi 8, leo anasema wnaa mhemuko.
Mbowe ametoka jela straight Ikulu, very prematurely anakimbilia Ikulu.
Ilikua busara mbowe atoke jela aongee na wafuasi wake ambao wamekua nae kwa kipindi chote cha mateso kisha kama anaenda kwa huyo rais ambae alimuweka jela aende. Yeye ghafla amelimbilia kwa mtesi wake.
Wanasiasa wa Tanzania ni hovyo tu.