Mbowe: Nimemwambia Rais Samia Mambo Mazito Sana, vijana wetu wana mihemko, nina deni sijui nitalipaje

kakazana "Mama... Mama... Mama.."
CHADEMA stalwarts kama Lissu wanasisitiza Rais sio mama yetu. Mweyekiti kakazana Mama... Mama
Jela kubaya sana, hata wazee wa uamsho walitoka wamesalimu amri kabisa wanaisifia serikali
 
Kugombana na viongoz wa juu wa serikal kila siku mtu mmoja huyo huyo siyo vzur,hawa vijana wake wanataka kumponza na walivyowaoga hata akiwaambia wawe nae bega kwa bega hawawez kutokea ila ni wakali kwenye keyboard tu.

Serikali hawakuwa wajinga kuanzsha kesi kama ile kwa Mbowe kutokana na maneno yake ya vitisho kuwa tanzania muda sio mrefu itawaka
 
Ampumzike awaachie wengine waendeleze alipoishia

Familia yake wamshauri kwa nguvu au wamroge atulie nyumbani

Watz hatuko nae asijidanganye
Sio kwamba wewe ndio haupo nae chief?
 
Mshkaji amekonda sana mpaka huruma.

Mama samia mpe kazi huyu mzee,, hicho chama naombea wasukuma wakichukuwe, wachagga wameshindwa kukimeneji,,Warudi moshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…