Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Hivi ndo ulikuwa huelewi darasani au Mwalimu wako ndo alikuwa haeleweki? Mtu kaeleza kuhusu Wabunge walivyopatikana Kwa forgery ya Tume, na ameuliza turidhiana nini na Mtu aliyefanya forgery kabla ya kuelezwa sababu za forgery? Halafu bado huelewi tu?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Tema mate Chini. Viongozi wa Chadema wanapitia mateso makali we hujui tu. Ni Bora ukae kimya baadala ya kudandia Jambo usilojua undani wake.
Hawa ndio wale baba zao na mama zao wanaoza huko majumbani kwa stroke na vidonda vya sukari kwa sababy ya laana za uzao wao. Achana nao. Usione hapa wanajifaragua hawana lolote.
 
Labda Kanda ya Ziwa Kilimanjaro kama lipo.

Wewe unaamini uchaguzi ulikuwa huru na Haki?. Yani siku ya uchaguzi mpaka siku ya kutangaza matokeo mtandao wa internet ulifungwa kwaajili gani Kama sio wizi?.
 
Du kweli wewe Dudumizi. Unaharisha tu hapa, ni haki yako ya kikatiba
 
Mimi mwenyewe nadhani waliompa taarifa walikosea

Nakushauri pitia uungaji mkono wa Chadema ulikuwa wapi. Kaangalie kura za mgombea ubunge wa CHADEMA pale Geita Mjini au Musoma Mjini. Acheni wizi wa kura. Mnazima mtandao wa internet ili muibe kura. Acheni hizo Kama mnapendwa wacheni wananchi wachague wenyewe.
 
Mimi mwenyewe nadhani waliompa taarifa walikosea

Taarifa gani imekosewa? Wewe huna macho ya kuona uchaguzi wa 2020 ulikuwa Ni kiini macho. Nashangaa mahera anafanya nini NEC inabidi aondoke.
 
“Tume hii ya leo imepeleka majina bungeni ya kughushi na watu wameapishwa kuwa wabunge, halafu mnakuja mnasema turidhiane sasa tunalidhiana kwa lipi? Lazima tuzungumze kwanza kilichosababisha turidhiane.” - Mhe.
@freemanmbowetz
 

Sio kweli kabisa unavyosema, Samiah au Magufuri Kama wansiasa wamewahi kukaa jela?. Ulitaka Mh Mbowe akae kimya asielezee Maisha yake Gerezani?. Wakati Leo ndio alipanga kuongea na waandishi wa habari.

Tuache siasa kisa tu mtu fulani hatoki kwenye chama chako. Ulitaka aongelee Mambo ya sgr au stiglers gorge? Mh. Mbowe kasema hana kisasi amesamehe na moyo wake ni mweupe. Kwako kusamehe sio Jambo la maana?.

Tatizo tunadharau Sana. Mtu mwingine akiongelea matatizo yake tukamdhihaki kisa Ni wa chama tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…