Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Mbona kwenye wale wabunge feki anaongea na maelezo hayajakamilika aijulikan anawakubal au anawakana na msimamo wa chama ni nn kuhusu wale wabunge wa mchongo

Chadema tena sana sana mboe aache kucheza na akili za watu kijinga ivyo watanzania wa leo sio wale wa miaka ile tunataka tuone msimamo wa chama ni upi si ngojera kla sku

Ccm itabaki juu na itatawala sana kwa ujinga huu wa upinzani tusitegemee
Hivi ndo ulikuwa huelewi darasani au Mwalimu wako ndo alikuwa haeleweki? Mtu kaeleza kuhusu Wabunge walivyopatikana Kwa forgery ya Tume, na ameuliza turidhiana nini na Mtu aliyefanya forgery kabla ya kuelezwa sababu za forgery? Halafu bado huelewi tu?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Tema mate Chini. Viongozi wa Chadema wanapitia mateso makali we hujui tu. Ni Bora ukae kimya baadala ya kudandia Jambo usilojua undani wake.
Hawa ndio wale baba zao na mama zao wanaoza huko majumbani kwa stroke na vidonda vya sukari kwa sababy ya laana za uzao wao. Achana nao. Usione hapa wanajifaragua hawana lolote.
 
Labda Kanda ya Ziwa Kilimanjaro kama lipo.

Wewe unaamini uchaguzi ulikuwa huru na Haki?. Yani siku ya uchaguzi mpaka siku ya kutangaza matokeo mtandao wa internet ulifungwa kwaajili gani Kama sio wizi?.
 
Tayari ashatengeneza mazingira ya kuwahadaa watu.

Jamaa kaishavimbishwa mfuko na bimkubwa ili aje atulie na kuwahadaa hadaa ndondocha wake hadi 2025.

Sasa hivi tutasikia jamaa karuka mala moja Dubai kutumia alichokusanya kwa bimkubwa ili kupunguza mawazo.
Du kweli wewe Dudumizi. Unaharisha tu hapa, ni haki yako ya kikatiba
 
Mimi mwenyewe nadhani waliompa taarifa walikosea

Nakushauri pitia uungaji mkono wa Chadema ulikuwa wapi. Kaangalie kura za mgombea ubunge wa CHADEMA pale Geita Mjini au Musoma Mjini. Acheni wizi wa kura. Mnazima mtandao wa internet ili muibe kura. Acheni hizo Kama mnapendwa wacheni wananchi wachague wenyewe.
 
Mimi mwenyewe nadhani waliompa taarifa walikosea

Taarifa gani imekosewa? Wewe huna macho ya kuona uchaguzi wa 2020 ulikuwa Ni kiini macho. Nashangaa mahera anafanya nini NEC inabidi aondoke.
 
Tayari ashatengeneza mazingira ya kuwahadaa watu.

Jamaa kaishavimbishwa mfuko na bimkubwa ili aje atulie na kuwahadaa hadaa ndondocha wake hadi 2025.

Sasa hivi tutasikia jamaa karuka mala moja Dubai kutumia alichokusanya kwa bimkubwa ili kupunguza mawazo.
“Tume hii ya leo imepeleka majina bungeni ya kughushi na watu wameapishwa kuwa wabunge, halafu mnakuja mnasema turidhiane sasa tunalidhiana kwa lipi? Lazima tuzungumze kwanza kilichosababisha turidhiane.” - Mhe.
@freemanmbowetz
 
Jela,polisi, mahabusi ayo ni makazi ya mwanasiasa yyte yule dunian yan mwanasiasa kwenda jela huwa sio hoja sabu ni makaz yao ya pili

Mbowe ni kiangozi mkubwa sana ktk taifa ili alitakiwa aje na hoja na habari za maana za kuzungumza na wananchi kupitia waandishi wa habari ila izi ngojera anazoleta za kusamee wote za nmejifunza meng jela imeniimalisha

Izo alipaswa aongee mtu km mdude sio yy

Sio kweli kabisa unavyosema, Samiah au Magufuri Kama wansiasa wamewahi kukaa jela?. Ulitaka Mh Mbowe akae kimya asielezee Maisha yake Gerezani?. Wakati Leo ndio alipanga kuongea na waandishi wa habari.

Tuache siasa kisa tu mtu fulani hatoki kwenye chama chako. Ulitaka aongelee Mambo ya sgr au stiglers gorge? Mh. Mbowe kasema hana kisasi amesamehe na moyo wake ni mweupe. Kwako kusamehe sio Jambo la maana?.

Tatizo tunadharau Sana. Mtu mwingine akiongelea matatizo yake tukamdhihaki kisa Ni wa chama tofauti.
 
Back
Top Bottom