Mtoto wa town katolewa gerezan kwa msamaha kakimbilia Ikulu kushukuru aiseee
Hata leo kawakana kua wale ni wenu yani ccm BAcha kuzunguka mkuu. Tamko rasmi la wao kuwakana.
Mtoto wa town katolewa gerezan kwa msamaha kakimbilia Ikulu kushukuru aiseee
Watoe tamko rasmi la kuwafukuza uanachama. Hapa analia lia na kulalamika tu
Please, kuwa muelewa. Mbowe kasema alivyotoka Gerezani alipewa taarifa keamba Rais anataka kuonana naye mapema iwezekanavyo. Sasa Nani kakimbilia ikulu.
Ikulu sio chooni unaingia na kutoka, Kuna utaratibu wa kwenda.
Tamko la nini,wakti barua iko bungeni na ilipokelewa na katibu wa bunge na kusign...huu ni uhuni wa ccm kuwabeba wakifikiria wanawakomoa cdm kumbe wanaingizia nchi hasara
Suala la akina mdee lipo baraza kuu. Baraza kuu ndio lenye maamuzi ya mwisho. Lilishapita kwenye kamati kuu.
Mama amfikirie ukuu wa mkoa Kilimanjaro, isipowezekana hata ukuu wa wilaya itapendeza sana.
Gaidi tu
Siku hizi unajitahidi kujipendekeza ila chadema hawakutaki
Mbona kwenye wale wabunge feki anaongea na maelezo hayajakamilika aijulikan anawakubal au anawakana na msimamo wa chama ni nn kuhusu wale wabunge wa mchongo
Chadema tena sana sana mboe aache kucheza na akili za watu kijinga ivyo watanzania wa leo sio wale wa miaka ile tunataka tuone msimamo wa chama ni upi si ngojera kla sku
Ccm itabaki juu na itatawala sana kwa ujinga huu wa upinzani tusitegemee
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama haya ndio mazungumzo ya Mbowe yule wa baada ya hayati kufariki? Basi huyu si mwamba tena bali ni udongo tu!
Mbowe alishasalimu amri kwa hangaya na alishaelekea kibra siku nyingi tu!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe kawa mrenda
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Wamepigwa changa!
Yanatoka moyoni au basi tu.Tayari ashatengeneza mazingira ya kuwahadaa watu.
Jamaa kaishavimbishwa mfuko na bimkubwa ili aje atulie na kuwahadaa hadaa ndondocha wake hadi 2025.
Sasa hivi tutasikia jamaa karuka mala moja Dubai kutumia alichokusanya kwa bimkubwa ili kupunguza mawazo.