Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Mtoto wa town katolewa gerezan kwa msamaha kakimbilia Ikulu kushukuru aiseee

Msamaha gani?. Msamaha wakati serikali ilikimbia ikafuta mashahidi kumi. Msamaha unatolewa mtu akipatikana na hatia. Mh Mbowe alikuwa anajitetea ndio kesi ikafutwa. Kama angepatikana na hatia basi hapo msamaha ungekuwa halali.
 
Mtoto wa town katolewa gerezan kwa msamaha kakimbilia Ikulu kushukuru aiseee

Please, kuwa muelewa. Mbowe kasema alivyotoka Gerezani alipewa taarifa keamba Rais anataka kuonana naye mapema iwezekanavyo. Sasa Nani kakimbilia ikulu.

Ikulu sio chooni unaingia na kutoka, Kuna utaratibu wa kwenda.
 
Watoe tamko rasmi la kuwafukuza uanachama. Hapa analia lia na kulalamika tu

Suala la akina mdee lipo baraza kuu. Baraza kuu ndio lenye maamuzi ya mwisho. Lilishapita kwenye kamati kuu.
 
Pole haifutiki hio
Please, kuwa muelewa. Mbowe kasema alivyotoka Gerezani alipewa taarifa keamba Rais anataka kuonana naye mapema iwezekanavyo. Sasa Nani kakimbilia ikulu.

Ikulu sio chooni unaingia na kutoka, Kuna utaratibu wa kwenda.
 
Tamko la nini,wakti barua iko bungeni na ilipokelewa na katibu wa bunge na kusign...huu ni uhuni wa ccm kuwabeba wakifikiria wanawakomoa cdm kumbe wanaingizia nchi hasara

Nashangaa barua ilishatumwa bungeni Ndugai akaikataa.
 
Mbona kwenye wale wabunge feki anaongea na maelezo hayajakamilika aijulikan anawakubal au anawakana na msimamo wa chama ni nn kuhusu wale wabunge wa mchongo

Chadema tena sana sana mboe aache kucheza na akili za watu kijinga ivyo watanzania wa leo sio wale wa miaka ile tunataka tuone msimamo wa chama ni upi si ngojera kla sku

Ccm itabaki juu na itatawala sana kwa ujinga huu wa upinzani tusitegemee

Ndugu, wabunge feki suala lipo baraza kuu ndilo linasubiriwa lifanye maamuzi. Kamati kuu ilisahatoa maamuzi yake. Tume iliforge majina, ndio maana waliokata rufaa ni sita pekee Kati ya kumi na tisa. Kumi na tatu hawajapata Rufaa, wamekubaliana na maamuzi ya kamati kuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama haya ndio mazungumzo ya Mbowe yule wa baada ya hayati kufariki? Basi huyu si mwamba tena bali ni udongo tu!

Mbowe alishasalimu amri kwa hangaya na alishaelekea kibra siku nyingi tu!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Sio kweli, Mh Mbowe amewakata maini baada ya kukataa mkutano wa maridhiano wa TCD. Hayo mengine ni kujifariji.
 
Tayari ashatengeneza mazingira ya kuwahadaa watu.

Jamaa kaishavimbishwa mfuko na bimkubwa ili aje atulie na kuwahadaa hadaa ndondocha wake hadi 2025.

Sasa hivi tutasikia jamaa karuka mala moja Dubai kutumia alichokusanya kwa bimkubwa ili kupunguza mawazo.
Yanatoka moyoni au basi tu.
Kumbuka neno MSAMAHA hata kwa kutamka tu ni kuonyesha utukufu wa Mungu ulivyo.
Kwa hivi inatosha tu kufurahia na kumpongeza na kusubiri.
Alisema alienda ikulu kwa sababu .... Haikukuwa jambo jema kuonyesha kiburi...
Kwa nini tusiamini.
 
Back
Top Bottom