econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mtoto wa town katolewa gerezan kwa msamaha kakimbilia Ikulu kushukuru aiseee
Msamaha gani?. Msamaha wakati serikali ilikimbia ikafuta mashahidi kumi. Msamaha unatolewa mtu akipatikana na hatia. Mh Mbowe alikuwa anajitetea ndio kesi ikafutwa. Kama angepatikana na hatia basi hapo msamaha ungekuwa halali.