Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Nilidhani anaongelea maazimio ya kamati kuu.

Lakini ninachokisikia ni mambo ya kesi na maisha ya gerezani tu.

Mbowe usiwe kama Lisu anayeongelea risasi kila siku, Wewe ni mwanasiasa mkubwa zungumzia mambo makubwa.

Kwa mfano, wasisitize CCM na serikali yake wahakikishe wanakamilisha miradi mikubwa yote ya maendeleo iliyoanzishwa na Mzalendo namba 2 baada ya Nyerere Shujaa Magufuli!
Ko bila Mbowe kusema miradi haijengwi? Upuuzi wa uvccm
 
Labda baba wa Rau Madukani!
Kapigwa na kitu kizito kichwani,kudadadeki
Screenshot_20220318-134308_Twitter.jpeg
 
Tayari ashatengeneza mazingira ya kuwahadaa watu. Jamaa kaishavimbishwa mfuko na bimkubwa ili aje atulie na kuwahadaa hadaa ndondocha wake hadi 2025. Sasa hivi tutasikia jamaa karuka mala moja Dubai kutumia alichokusanya kwa bimkubwa ili kupunguza mawazo.
Upumbavu at it's best, na fedha hii kutoka kwa bimkubwa ni kodi yako wewe ambaye huioni inatumika vibaya,

Mr.Mbowe ametoka kwenye upper class family, fedha sio issue kabisa, ni uzalendo wake ndio maana yupo frontline, mimi na wewe ni keyboards kings!tunalalama na hizi fake id
 
Tayari ashatengeneza mazingira ya kuwahadaa watu. Jamaa kaishavimbishwa mfuko na bimkubwa ili aje atulie na kuwahadaa hadaa ndondocha wake hadi 2025. Sasa hivi tutasikia jamaa karuka mala moja Dubai kutumia alichokusanya kwa bimkubwa ili kupunguza mawazo.

Hiyo ni sababu ya kunywa Gongo mchana kabla ya kula.
 
Chadema wekeni hotuba kamili ya maandishi,kuna mambo mengi Mwamba amezumngumza hasa baada ya maswali ya waandishi.
Ahsante.
 
Back
Top Bottom