Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Kumbe mawazo ya waafrika ndiyo haya. Ukinisaidia ina maana sitakiwi kusema ukweli hata baadaye ukikosea, ukageuka kuwa mla rushwa na muongo plus tapeli kwa sababu kukusema nitakuwa nimekusaliti. Tuache kuisema CCM kuwa ina machawa, maana hao machawa hawawezi kwuasema viongozi wala rushwa maana kwa namna moja au nyingine wamewasaidia.
 
Kwa hivyo hizo zilikuwa fadhila za rushwa, tit for that, Lissu alihongwa ili asiwe huru kusema anachotaka?
Mbowe yuko sahihi. 'term limit' is by nature anti-democratic. hiyo haimaanishi kwamba ni kitu kibaya; inamaanisha tu kwamba ina-limit uhuru wa watu ku-exercise their democratic right ya kupiga na kupigiwa kura. ni kawaida kwa kitu kuwa na faida na hasara:
 
Toa maana ya demokrasia
“Tunaenda kwenye uchaguzi lakini siwezi kuruhusu uibaji wa kura. Utakua Uchaguzi wa wazi sana. Kura zitakuwa za wazi na zitahesabiwa hadharani. Hofu ni ya mtu ambaye anajua anafanya dhambi. Nitaomba Camera na TV zote duniani ziwepo pale. Wajumbe watahakikiwa” Freeman Mbowe
 
..viongozi wa Dini na Mabalozi pia waalikwe kuwa waangalizi.
 
“Tunaenda kwenye uchaguzi lakini siwezi kuruhusu uibaji wa kura. Utakua Uchaguzi wa wazi sana. Kura zitakuwa za wazi na zitahesabiwa hadharani. Hofu ni ya mtu ambaye anajua anafanya dhambi. Nitaomba Camera na TV zote duniani ziwepo pale. Wajumbe watahakikiwa” Freeman Mbowe
Tundu Lisu kama Hamas anatoa mateka mmoja mmoja dadeki 🐼
 
“Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?” Freeman Mbowe
 
“Tunaenda kwenye uchaguzi lakini siwezi kuruhusu uibaji wa kura. Utakua Uchaguzi wa wazi sana. Kura zitakuwa za wazi na zitahesabiwa hadharani. Hofu ni ya mtu ambaye anajua anafanya dhambi. Nitaomba Camera na TV zote duniani ziwepo pale. Wajumbe watahakikiwa” Freeman Mbowe
Kama ndiyo mtazamo na uelewa wake basi hakkupaswa kuingia kwenye uadui na mwenzake baada ya kuchukua fomu
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Mkuu upo na Mbowe au Lissu hadi nimecheka 😂😂😂
 
Back
Top Bottom