Unadhani Mbowe ameingia uadui na Lissu au Lissu ameingia uadui na Mbowe?Kama ndiyo mtazamo na uelewa wake basi hakkupaswa kuingia kwenye uadui na mwenzake baada ya kuchukua fomu
BeneficiableWanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.Tundu Lisu kama Hamas anatoa mateka mmoja mmoja dadeki 🐼
😂😂😂Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
Lissu alipoachana na mkewe wa ndoa aliyepambania maisha yake kiasi kile akaenda oa mzungu.... alipomtukana Samia yale matusi licha ya kumpa Passport na mengine mengi nilianza mtilia mashaka sana!!chama chochote duniani hakitaki mwanachama dizain ya lissu.
lisu ni sectret mafia sema anatafuta huruma kwa roporopo .
if lissu win he is going to ruin our beautiful chadema ever
Chama chake cha sakosi na ninyi ni watunisha kibubu.Mbowe usikubali chama chako kichukuliwe kizembe fanya kama ulivyowafanyia kina Zitto, Kafulila Chacha, Kitilia.
Zitto na Kitila walishughulikiwa na Lissu, sio Mbowe. Kuna speech juzi hapa Zitto ameitoa baada ya kuona Lissu anamtajataja kwenye kampeni zakeMbowe usikubali chama chako kichukuliwe kizembe fanya kama ulivyowafanyia kina Zitto, Kafulila Chacha, Kitilia.
Hayo yooote alikuwa akimfanyia kwa faida ipi?Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
Pole,Lissu alipoachana na mkewe wa ndoa aliyepambania maisha yake kiasi kile akaenda oa mzungu.... alipomtukana Samia yale matusi licha ya kumpa Passport na mengine mengi nilianza mtilia mashaka sana!!
Wewe sema ni maadui mbele ya masikio na macho yako kumbe it's a strategic plan towards 2025 general election by earning Tanzanians' attention hahaha. Mara ngapi kipindi cha uchaguzi wa ndani wagombea wa CCM huwa wanaparuana mpaka kufikia hatua ya kusema chama kinagawanyika alafu baada ya uchaguzi wale wale lao linakuwa moja huku kwenye masikio na macho ya wananchi yamejazwa habari za CCM?Walishasema wahenga, "Rafiki yako wa sasa ni adui yako mtarajiwa"
Kusahau ni moja ya madhaifu ya mwanadamu!
Wakati si mileleWanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Kwani wewe siyo mhuni?Yaani akae pembeni aachie chama wahuni?
Sijakusikia siku nyingi!!!So what?