Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..viongozi wa Dini na Mabalozi pia waalikwe kuwa waangalizi.
Chama cha upinzani nacho kisimamiwe uchaguzi na mabalozi ? Mnaiambia nini dunia ?

Yani Mwafrika huna uwezo, huna uthubutu, huna akili ya kutenda demokrasi hata kwenye upinzani ?? Mpaka usimamiwe na mgeni ??

Hivi Mwafrika una mchango gani hapa ulimwenguni ?? You can't do shit for yourself!

Wanatushangaa, wanatucheka, wanatudharau sana masikini ya Mungu.
 
Kama umetoka mbali na Lisu maana yake unamuamini sio?

Mwachie Chama akiongoze ukimpa maelekezo ya karibu.
 
Kwahiyo kama ulilipa ticket unatakaje?
 
Wastaarabu, ukimfadhili mtu, that is charty, haupaswi kusema!. Kwa taarifa tuu, wako wana CCM wengi tuu wameifadhili Chadema, lakini hawasemi. Tenda wema uende zako, watu wengine hawana shukrani!. Abdul mwenyewe sasa anajuta!. Hili somo la kuwa na shukrani Chadema tumewafundisha sana!. CHADEMA kuweni na shukrani, punguzeni kulalamika, shukuruni kwa yote. Ile kesi mbaya! Shukuruni mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na Watanzania au wafadhil wa Chadema nao watoke waseme?.
P
Kwa mfano nikupe mfano rahisi nimemsikia majuzi ndugu yangu Makamu wangu (Tundu Lissu) anasema anahutubia taifa, ni Makamu Mwenyekiti (wa CHADEMA Bara) anahutubia taifa ameshakuwa kiongozi wa chama anahutubia taifa ni kukosa nidhamu. Sio Mwenyekiti wa chama soma katiba ya chama imeeleza kazi za Mwenyekiti na kazi za Makamu Mwenyekiti kila mmoja amefafanuliwa kwenye katiba kazi zake ni zipi anazifanyaje kama umeweza kwenda kufanya kazi ambayo si ya kwako."
 
Mb

Mbowe hata achakachuee aibe kura awe mwenyekiti haramu ajue kuwa heshima yake haipo tena yupo level moja na lipumba wa Lissu akishindwa Uchaguzi anafukuzwa uanachama mapema tarehe 22
.Lissu akishindwa Uchaguzi anafukuzwa uanachama mapema tarehe 22
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.

View attachment 3194365
Kwa hiyo madhali amefadhiliwa na mbowe hakutakiwa kugombea uenyekiti?
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.

View attachment 3194365
Nashauri chadema kibiadili jina neno demokrasia liondolewe liwekwe jingine mfn wachaga n.k. Kwa hiyo mbowe alitaka apite bila kupingwa? Anamlaumu lisu kwa kugombea ye alitakaje? Tutajuaje kuwa yuko pale kihalali bila kupitishwa kwenye mchujo mkali na kuonekana anafaa? Ni vema kampeni safi na uchaguzi huru na wa haki uanzie chadema ndipo wadai uchaguzi huru na wa haki taifa.
 
Dunia ya Leo ambayo ipo kasi sifikirii mtu makini anaweza kujisifu Kwa haya mambo .

Gari
Nyumba
Tickets za Ndege

Mapambano yetu haiyaitaji pesa au hela Ila yanahitaji spirit ya upambanaji .

Unfortunately mtu anapojisifu Kwa haya mambo je anakuwa amekosa hoja zenye mashiko.
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.

View attachment 3194365
Unajua kuna vitu unaweza ukawa unavitoa au kuviongea watu ukawa unajichoresha bila wewe mwenyewe kuelewa kama unajichoresha.

Kwa pamoja tutafakari mambo yafuatayo:-
Kauli ya Mbowe siku Lisu anachukua fomu ya kwamba naona ndani ya chama kuna fahari hii ni uhalo ambao ulimtoka bila kipima uzito wake, yaani kwamba yeye hatakiwi kushindana na mtu ndani ya chama kwa kuzingatia misingi ya kidemokrasia ambayo imekuwa kilo chake muda mrefu? Kauli hii inasadifu kwamba ameshajibadilisha na kuwa mmiliki wa chama na kwamba hakuna mwingine yeyote anaeruhusiwa kuwa mwenyekiti.

Sasa kama ndivyo kwa nini hata CHADEMA na vyama vingine visikae pembeni visiendelee kupambana na CCM kuitoa madarakani kwa dhana yako ya fahari wawili.

Chadema na vyama vingine vilipofikia sio tena mali ya mtu mmoja ni vyama vya watanzania/wananchi.

Haiwezekani unapokea luzuku ya chama tena ambayo huenda ingefanya mambo ya msingi kitaifa chini ya mfumo wa chama kimoja halafu leo unaleta ubabe wa kutaka kuonekana wewe tu ndo unafaa kuiongoza chadema, huu ni ujuha.

Nina imani unatambua kabisa kiasi cha watu walioumia wakipambania chama akiwemo Lisu, akina Mawazo, Ben, Mdude, n.k hivi unawezaje kukosa hata busara za kumpongeza Lisu kwa maamzi ya kugombea nafasi kubwa kama hiyo ndani ya chama chako, sio kwa sababu alipigwa, "hapana", ila ni kwa sababu anayo nia ya dhati kukupokea majukumu kama kaka au mlezi wake kama unavyosema kwamba umemtoa mbali, hukutoa watu mbali kuja kuwa mashuhuda bali kuwa wapambanaji hivyo Lisu hapaswi kuonekana kama mhaini kisa anagombea uenyekiti.
 
Dunia ya Leo ambayo ipo kasi sifikirii mtu makini anaweza kujisifu Kwa haya mambo .

Gari
Nyumba
Tickets za Ndege

Mapambano yetu haiyaitaji pesa au hela Ila yanahitaji spirit ya upambanaji .

Unfortunately mtu anapojisifu Kwa haya mambo je anakuwa amekosa hoja zenye mashiko.
Binadamu ameumbwa na moyo na damu inatembea. Inaumiza unapoona mtu uliyemsaidia makubwa INCLUDING kunusuru maisha yake baada ya kupigwa risasi 16 na Magufuli, kwa maamuzi ya kutompeleka Muhimbili.

Lissu hakupaswa kwenda PERSONAL kwenye majukwaa na kumkashifu Mbowe
 
Back
Top Bottom