Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 454
- 1,011
Chama cha upinzani nacho kisimamiwe uchaguzi na mabalozi ? Mnaiambia nini dunia ?..viongozi wa Dini na Mabalozi pia waalikwe kuwa waangalizi.
Shoga mamako mimi ni mwanachama hai na nina mchango mkubwa tu siyo msenge wewe toka ccm unaleta maigizo.utakuta we shoga hata kadi huna
Na wewe ukapimwe marinda una viashiria vyote kuwa unalawitiwa yaani wewe ni papaiLissu akapime wanae DNA wasijekusema walimsaidia na huo upande 🙁)
Kwa mfano nikupe mfano rahisi nimemsikia majuzi ndugu yangu Makamu wangu (Tundu Lissu) anasema anahutubia taifa, ni Makamu Mwenyekiti (wa CHADEMA Bara) anahutubia taifa ameshakuwa kiongozi wa chama anahutubia taifa ni kukosa nidhamu. Sio Mwenyekiti wa chama soma katiba ya chama imeeleza kazi za Mwenyekiti na kazi za Makamu Mwenyekiti kila mmoja amefafanuliwa kwenye katiba kazi zake ni zipi anazifanyaje kama umeweza kwenda kufanya kazi ambayo si ya kwako."Wastaarabu, ukimfadhili mtu, that is charty, haupaswi kusema!. Kwa taarifa tuu, wako wana CCM wengi tuu wameifadhili Chadema, lakini hawasemi. Tenda wema uende zako, watu wengine hawana shukrani!. Abdul mwenyewe sasa anajuta!. Hili somo la kuwa na shukrani Chadema tumewafundisha sana!. CHADEMA kuweni na shukrani, punguzeni kulalamika, shukuruni kwa yote. Ile kesi mbaya! Shukuruni mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na Watanzania au wafadhil wa Chadema nao watoke waseme?.
P
Inashangaza sana. Hizo ndio sera zake, hata cha kukifanyia chama inabidi kudeal na mgombeaKwahiyo kama ulilipa ticket unatakaje?
.Lissu akishindwa Uchaguzi anafukuzwa uanachama mapema tarehe 22Mb
Mbowe hata achakachuee aibe kura awe mwenyekiti haramu ajue kuwa heshima yake haipo tena yupo level moja na lipumba wa Lissu akishindwa Uchaguzi anafukuzwa uanachama mapema tarehe 22
Kwa hiyo madhali amefadhiliwa na mbowe hakutakiwa kugombea uenyekiti?Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
Nashauri chadema kibiadili jina neno demokrasia liondolewe liwekwe jingine mfn wachaga n.k. Kwa hiyo mbowe alitaka apite bila kupingwa? Anamlaumu lisu kwa kugombea ye alitakaje? Tutajuaje kuwa yuko pale kihalali bila kupitishwa kwenye mchujo mkali na kuonekana anafaa? Ni vema kampeni safi na uchaguzi huru na wa haki uanzie chadema ndipo wadai uchaguzi huru na wa haki taifa.Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
Hee kumbe hicho chama cha chadema ni cha mboweMbowe usikubali chama chako kichukuliwe kizembe fanya kama ulivyowafanyia kina Zitto, Kafulila Chacha, Kitilia.
Tenda wema kwa kiasi usije ikawa lawama kesho
Unajua kuna vitu unaweza ukawa unavitoa au kuviongea watu ukawa unajichoresha bila wewe mwenyewe kuelewa kama unajichoresha.Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
Hatuna ushahidi wa huo usaidizi, vp kama TAL akija na kukana?Kumsaidia versus kumfurahisha
Mbowe hasaidii watu Ila alikuwa anawafurahisha.
Binadamu ameumbwa na moyo na damu inatembea. Inaumiza unapoona mtu uliyemsaidia makubwa INCLUDING kunusuru maisha yake baada ya kupigwa risasi 16 na Magufuli, kwa maamuzi ya kutompeleka Muhimbili.Dunia ya Leo ambayo ipo kasi sifikirii mtu makini anaweza kujisifu Kwa haya mambo .
Gari
Nyumba
Tickets za Ndege
Mapambano yetu haiyaitaji pesa au hela Ila yanahitaji spirit ya upambanaji .
Unfortunately mtu anapojisifu Kwa haya mambo je anakuwa amekosa hoja zenye mashiko.