Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

Aliyefilisika Kisiasa mngemtungia nyimbo za Taarabu Kila uchao? Hata jiwe kamwimbia Taarabu jana kule Chato. Akili za maCCM mnazijua wenyewe.
huu mchezo hauhitaji hasira, chukua tahadhari Corona ni hatari
 
Mbowe anatapa tapa
Ameshaamua kujipa karantini na mazwazwa wake,unaongea nini tena?
Eti nae atalihutubia taifa!! Labda kwa twitter
 
Wakikaa kimya watapotea kisiasa, kumbuka miezi kadhaa mbeleni mwaka huu tunaenda kwenye uchaguzi mkuu
 
Mbowe ana haki ya kufanya anacho kusudia kukifanya. Ni makosa kumkamata kisa kanuia kusema. Btw kwanini na wewe usikamatwe kwa kukiita kipindi hiki kigumu kinyume na rais anaesisitiza kuwa hali ni ya kawaida?
 
Ulishazungumza inatosha. waliosikia na wasikie wabishi waach, msiseme hamkuambiwa, watu weusi tuna tabia ya kudharau maisha yetu

angalia US wanaokufa 70 percent blacks

Kwa hiyi lickdown imewasaidia nini mbona sasa hivi wameachia muhimu ni kujilinda mwenyewe
 
Yeye ana haki kama mtanzania kama ulivyo wewe, au unataka kutwambia kuwa ukiwa ccm ndiyo una haki ya kuzungumza?

Wacheni siasa za maji taka ktk uhai wa watanzania. Hakuna mtu wa kumtoa sadaka kisa kutimiza ndoto zenu nyinyi maccm.
In God we Trust
 
Umechemsha wewe na mjomba wako
Kachemsha huyo naye atulie tu au ndo anatafuta gia ya kurudi bungeni baada ya kusikia posho zinafyekwa!

In God we Trust
 
Kiukweli mbowe ana busara, tuweke siasa pembeni.kuongea Na vyombo vya habari Ni haki yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…