Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,498
- 13,138
Pole sana Mbowe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu mchezo hauhitaji hasira, chukua tahadhari Corona ni hatariAliyefilisika Kisiasa mngemtungia nyimbo za Taarabu Kila uchao? Hata jiwe kamwimbia Taarabu jana kule Chato. Akili za maCCM mnazijua wenyewe.
Nguvu ya upinzani ni wananchi mkuuMbowe anatapa tapa
Ameshaamua kujipa karantini na mazwazwa wake,unaongea nini tena?
Eti nae atalihutubia taifa!! Labda kwa twitter
Wakikaa kimya watapotea kisiasa, kumbuka miezi kadhaa mbeleni mwaka huu tunaenda kwenye uchaguzi mkuuYaani ww ni mbunge usije kuthubutu kuichezea nchi mmeleta dharau toka muda mrefu
Naona mnataka kuvuka msitari mwekundu
Tegemea the same reaction kuja endapo mkiichokoza dola
Kumbuka huu si wakati wa kucheka Cheka
Huu si wakati wa siasa tunataka kumsikikiza mkuu anasemaje
Ww ni mbunge tu na ubunge wako unakoma mwezi juni
Baada ya mwezi juni utakuwa kama Hashimu Rungwe
Wapo wapi hao watakaoacha shughuli zao wakamsikiliza kibaraka wa mabeberuNguvu ya upinzani ni wananchi mkuu
Lazima apiganie ugali wa familiaWapo wapi hao watakaoacha shughuli zao wakamsikiliza kibaraka wa mabeberu
Mbowe ana haki ya kufanya anacho kusudia kukifanya. Ni makosa kumkamata kisa kanuia kusema. Btw kwanini na wewe usikamatwe kwa kukiita kipindi hiki kigumu kinyume na rais anaesisitiza kuwa hali ni ya kawaida?“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.
Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.
Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.
View attachment 1439248
Ulishazungumza inatosha. waliosikia na wasikie wabishi waach, msiseme hamkuambiwa, watu weusi tuna tabia ya kudharau maisha yetu
angalia US wanaokufa 70 percent blacks
“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.
Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.
Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.
View attachment 1439248
Kachemsha huyo naye atulie tu au ndo anatafuta gia ya kurudi bungeni baada ya kusikia posho zinafyekwa!
....na corona sio siasa.
Mbowe una akili kubwa. Nakuunga mkono.
Asijibizane na watu walioshindwa
Ameongea juzi Taifa likamkatalia likamwambia arudi shule .aache kisabengo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani bado tunahitaaji hotuba?
Wajinga wamekutana.
Ila jamaa sio mtu mzuri. Anasema corona haitishi wakati yeye amekimbia.