Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

Wewe ndiye mnafiki na mkabila mkubwa na adui no 1 wa watanzania.

Kumbukeni kuwa hii ni dunia ya kidigitali mnayo yafanya leo hii kesho yata wahukumu
Mbowe wewe ni mnafiki na unalijua hilo au nifungue lile file? Utaaibika kaka, hoja za wanaume hazijibiwi kivulana

In God we Trust
 
Niliwahi kusema lkn watu hawakunielewa juu ya hili jambo
Chezeya njaa kuanxzia 2015 mwishoni ulijidai kususa Lumumba eti kuna wagalatia, njaa ilipozidi ukajisalimisha kwenye praise and worship team

In God we Trust
 
Na nyinyi mataga wacheni kumchezea Mh Mbowe
Hivi mbowe anatafuta nini,ameongea majuzi,akadai wanaweza kumkamata,lakini hakuna aliyehangaika naye. Sasa amekuja na gia nyingine,anataka ligi na Magu,haaahaa,... Mbowe acha kumchezea Rais,huyo siyo Dr Slaa.

In God we Trust
 
Naona umeingia jana jijini dsm na Nyahunge Express
In God we Trust
 
Wanao potosha juu ya corona wajiandae kushitakiwa na mahakama za kidunia maana ni sawa na mauwaji
In God we Trust
 
Mshamba ni wewe na babako na ukoo wenu wa panya
In God we Trust
 
Wasalimie sana kwenu koromomije
In God we Trust
 
Kwani wapi mh Mbowe kasema kuwa yeye ni rais?

Mbona unawashwa sana? Wewe kama hutaki kumsikiliza funga domo waache wanao hitaji wamsikikize
Sio tu kumtisha asithubutu kabisaa na atatishika awamu hii yaani tuna Rais mmoja tu nchi hii na si vinginevyo kwa ss atatishika yy ni mbunge wa jimbo la Hai tu labda anajisahau sn hajui mipaka yake

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…