Chungchung changchang
Member
- Oct 15, 2021
- 64
- 80
Mbowe ana akili sana.. Kaona mnamponza tuu, nyinyi mko makwenu yeye aende lupango...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
waziri mkuu aliyesema lowasa fisadi, baadae akamteua kugombea urais na kumsafisha. hebu acha uhuniHuyo ni Waziri Mkuu ajaye wa tz ya serikali ya umoja wa kitaifa!!
Hapa ndipo sifa ya nyumbu inapokuja.
Sio nyie mliosema mwamba hawezi kufika Bei?
Kipo wapi?
Mbona kanyamaza ghafla?
Wewe ni K...Keshaelekea kibra huyo
Kuna nchi hazina uchaguzi kabisa na zinafanya vizuri kuliko sisi katika nyanja zote.Vipi tume huru ya uchaguzi?
Ndio mdudu gani huyo?Keshaelekea kibra huyo
Yalikuwa ni maagizo ya wenye nchi Ili kumvusha jpm na kumfilisi Lowasa!!waziri mkuu aliyesema lowasa fisadi, baadae akamteua kugombea urais na kumsafisha. hebu acha uhuni
Kwani katiba iliyopo inawazuia?Katiba mpya itawaruhusu Bakwata kula kitimoto.
Kusamehewa tu mbio kwa Samia, Sasa hakuna Cha kuchangia wakili Wala Nini, kafanyeni kazi.Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Zipo video clips kwa hayo uyatakayo, uwe unapitia na YouTube, au vifurushi vya data za video vinakupiga chenga?Nilitegemea Mbowe aseme wazi kuwa nimeongea na Rais kuhusu hiki na hiki na nimemwambia hiki na hiki na kwa kirefu nitasema baadae lakini kwa ufupi nimemwambia hiki na hiki!
Sentensi ya mwisho ina uzito mkubwa sana !!Hili ndilo tatizo la watanzania wengi wanahitaji kila mtu akisaidiwa alipe hapohapo kama mnaamini Mbowe katoka kwa Maombi yenu mnataka awalipe hapohapo?
Na nyie ndio wale ambao kila mkisaidia mnawaza kulipwa Kwa chochote au nyie ndio wale mkitaka kusaidia watu mnaitisha umati wa waandishi wa habari mutoe mulichonacho ili mukimaliza tu pale munaowasaidia wenye mahitaji wawapongeze na maneno mengiiii.
Mbowe yupo sahihi hili swala lilikua Zito sana sio lakutoka Mahakamani na kwenda kwa Press inatakiwa u Digest vitu na sio kila kitu akiseme.
#Taifa hili lina wajinga wengi sana.