Mbowe, Rais Samia atakugombanisha wewe na Wanachama, Wafuasi na viongozi wenzako wa CHADEMA

Mlijua ameshinda kesi? Ile kesi ina mengi na haya ndo masharti ya msamaha
 
covid 19 wanahitajika kwa sababu mbili..ule msaada wa european union WA EUROS ZA KUTOSHA BUNGENI unaohitaji idadi fulani ya wapinzani kwenye kamati zabunge
Kwani EU hawaoni kwamba Hawa ni wabunge feki wa mchanga?
 
 
Wewe umekariri Sukumagang huku chama kimeuzwa. Hujiulizi why Mbowe anaenda peke yake Ikulu! Mbowe ndiye tatizo ndani ya CHADEMA labda na wewe chawa wake.
kwakweli mambo ya chama anaendaje mwenyekiti pekeyake hiyo ni mali ya siyo chamake
 
Vuteni subira na mbakize maneno. Safari zote ameleta mrejesho na sasa atakwenda na wengine. Kiongozi inapobidi anafanya mazungumzo peke yake kabla au bila ya kuhusisha wengine mpaka anapo ona muda muafaka. La msingi ajue muda utafika ahusishe chama. Maamuzi ya mwisho ni ya chama. Ni ushauri tu mimi sina chama.
 
Reactions: Pep
Mimi sina tatizo na mkutano, nina tatizo na usiri juu ya mkutano.
 
Maswala personal kisha akaambiwa aje awakanye wafuasi wake kuinanga serikali huku mitandaoni? Mimi ni mmoja kati ya watu wasio na imani tena na Mbowe hususani kwenye hizi safari zake za ikulu. Mbowe ashauriwe kuachia uenyekiti wa CDM ASAP.
Huna imani tena na Mbowe?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Pep
Haya ndio maisha ya kitanzania ya miaka ya sasa. Maongezi mengi nyuma ya keyboard hakuna anayeingia mtaani kupambana.
 

Polisi wakae pembeni maana sisi hatuna silaha, kisha hao viongozi wa CCM na wafuasi wake wajitokeze ili tujue nani mwanaume.
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…