Mwenyekiti Mbowe, kwa yanayoendelea nchi hii na kwa reaction ya wana-CHADEMA kufuatia maamuzi ya Spika kuwalinda Mdee na Wenzake, naiona hatari ya Rais Samia kukugombanisha na viongozi wenzako wa CHADEMA pamoja na wafuasi na mashabiki wa chama hiki.
Hizi ni tweets za Martin Maranja Masese aliyejitoa kuripoti kesi yake ile ya mchongo.
Maswala personal kisha akaambiwa aje awakanye wafuasi wake kuinanga serikali huku mitandaoni? Mimi ni mmoja kati ya watu wasio na imani tena na Mbowe hususani kwenye hizi safari zake za ikulu. Mbowe ashauriwe kuachia uenyekiti wa CDM ASAP.
Mimi namuona Mbowe kuwa atafanya uamuzi wa busara wa kumpisha mwanachama mwingine kuwa Mwenyekiti muda si mrefu! Ukiona watu wana kosa heshima kwako kama walivyoonesha wale wanawake kwenye mkutano mkuu ujue muda umefika wa kuachia ngazi ama sivyo utakuja pata aibu bure!