Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

Badala ya kupambana na SHUGHULI zetu ili kujikwamua KIUCHUMI, tunakazana kuwasikiliza Akina Mbowe ambao hata njaa HAWANA....maana utawakuta Ikulu wakinywa chai na Mama...
Siasa ni maisha
 
Wewe mwashamba rucas mbowe anachesema ni kweli tupu yaani ukitumia akili Yako hata robo tu utabaini anachoimani mbowe kuhusu mikataba ya bandari
 
Katika watu waliochelewa kwa hili, Bro. Mbowe umechelewa.Unaonekana Chizi fulani hivi.
 
Hivi Kessy alipotelea wapi?
Alikuwa anti Pemba and Unguja
 
Huyu Mbowe kisha shindwa 2025 sasa yuko kwrnye kampeni ya 2030
Hoja zimeisha mkauka, ngoja makonda aje amkunje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…