Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

Kimekugonga mfupani mh Mtuhuru [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]

Kwa mara ya kwanza nashuhudia chairman umepanic!

Makonda amerudi utakwenda tena lockdown dadeki!
FB_IMG_1697710177255.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba, tukiukubali uhuni wa IGA, tumeuza vizazi vyetu vyote.

Mpaka sasa IGA ipo vile vile, hakuna kilichobadilika. DP wakati wowote huko mbeleni wana uwezo wa kutudani tutimize masharti ya IGA, tukigoma, tutashtakiwa, na lazima tutalipishwa kwa kukiuka makubaliano.

Siku hizi za mwanzoni wanaweza wasitudai chochote kuhusiana na IGA, ili tujisahau na tuamini kuwa IGA haipo, lakini huko mbeleni ni lazima watatugeuka.
Nime screenshot comment yako Kwa kumbukumbu. Asante Kwa maoni Bora Sana.
 
Rais Samia asifikiri kumweka Makonda kwenye nafasi hiyo ndio nafuu kwake, hapa, anajidanganya, tena huyo Makonda tuna kazi naye atakapokuja mtaani kwetu, lapili kama mkataba wa DP World umebeba maoni kweli ya wananchi atakuwa salama, kama kafanya janja janja hawezi kubaki salama kisiasa, sababu watu walifanya dua mbalimbali Na kwa makundi mbalimbali, tuone mwisho wake
 
Dua

La Kuku halimpati mwewe ujue
 
Kwa hiyo tumeachana na maandamano ya kina Mzee Slaa tunahamia kwny maombi?
 
Weka ushahidi wa uyasemayo, huo wa nchi zingine.

Kumbuka mahakama zipo aina mbili, kuna mahakama za wazi na kuna mahakama za chamber. Amazo hata huelewi kinajadiliwa nini humo.

Anayepewa ushauri akusikiliza bila kuufanyia kazi, huyo ni nusu mtu
Anayepewa ushauri akausikiliza na akaufanyia kazi huyo ni mtu kamili.
Anayepewa ushauri asiusilize kabisa, huyo ni mtu sifuri, hakuna mtu hapo.
We umewahi kushinda kesi gani?
 
Tatizo la chadomo na mwenyekiti wao, hawana sera ya chama chao, wao huwa wanadandia matukio tu.

Wanasikitisha sana.

Kwa mama Samia wamefika, yeye huwa hajibu kabisa ujinga. Siasa zao za kuchokoza (provoke) pale zimegonga mwamba.

Tutabishana nao sisi tu JF hapa, mama akiibuka ni kazi tu.
Wewe ni mkongwe JF. Jaribu kubalance hisia hasa unapowaongelea viongozi wategemewa na wananchi.
 
Si mmesema imeshasainiwa,Sasa Ina maana gani kuwekwa public?
 
Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo uwekwe hadharani. Hii ni kwa sababu tunaweza kuwa tumepigwa (zilongwa mbali zitendwa mbali).

Awali Wananchi walimtaka Mbowe aombe nakala ya mkataba huo ili wauone na kujiridhisha kama kilichosemwa ndicho kilichoandikwa .
Nchi yetu imejaa wajinga wengi sana kiasi kwamba wale wenye akili wanaonekana ndio wajinga na wajinga wanawekwa kundi la werevu.

Huo ni mkataba wa biashara hauwezi kuanikwa hadharani tu, humo kuna siri za DP World na serikali ya Tanzania.

Na kina Mbowe wenye kufanya biashara kubwa kubwa kwa muda mrefu ni lazima haya mambo wanayafahamu, hapo wanapiga siasa kwa wananchi wanaowasikiliza. Kwa maneno mengine kwa Mbowe siku imeshaingiza pesa tayari, haijapita bure tu.
 
Mbowe aache utapeli wake hapa wa kuwahadaa wafuasi wake ambao alishawachukulia kama manyumbu wake. Yeye ndiye haaminiki ambaye alishakifanya chama kama mradi wake binafsi, ndio maana aliuza chama 2015 akapiga pesa zake akatulia pembeni akawa anatumbua tu pesa kwa raha zake.

Mbowe huyo huyo alikuwa anakirundikia chama madeni yasiyo hata risiti wala makubaliano lakini akawa anajilipa tu kupitia watu wake aliowachomeka kijanja. Miaka yote Mbowe amekuwa akitafuna Ruzuku kama mchwa mwenye njaa mpaka akashindwa hata kujenga choo tu cha ofisi pale kwenye ofisi za kupanga. Mbowe alishindwa kupaka hata rangi tu ya ofisi zile za kupanga wanazoendelea kubanana utafikiri mbuzi wa mnadani.

Sasa Mbowe ataaminika kwa nani zaidi ya nyumbu wake wasiojitambua? Nani atamsikiliza Mbowe aliye dalali mkuu wa kutumia chama kwa manufaa yake binafsi huku wanachama wakitumika kama makarai tu?

Rais wetu anaaminika na ndio maana Anaendelea kuungwa mkono na watanzania wote ikiwepo viongozi wa Dini zote hapa nchini. Mbowe akae kwa kutulia na kuendelea kutafuna pesa za nyumbu wake.
Kama Mbowe alidiriki kuchukua pesa mwaka 2015 kama unavyodai huoni maoni yako yanadharilisha mifumo yetu inayosimamia utawala bora hasa Takukuru ambayo walikuwa na wajibu wa kumkamata Mbowe kupokea rushwa au kuviolate sheria ya uchaguzi?Hizo allegation zisizo na kichwa wala miguu mtaziacha lini?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
IGA iko vilevile.
Kitanzi kipo palepale
Samia akishaondoka
Majaliwa akishaondoka
Mpango akishaondoka
IGA IKO VILEVILE!
IGA bila ya kuziondoa zile sheria walizoanza kuzifanyia kazi na kupeleka mswada Bungeni, na baadae kuondoa kwa aibu; hiyo IGA haina nguvu.

Ninachokubaliana nawe ni kuwa, sasa hiyo IGA ipo 'mortuary'.
Na kwa bahati mbaya sana, waTanzania wasipostuka na kumpa Samia ngwe yake hapo 2025; hiyo IGA itafufuka, tena na kuwa jini la kutisha sana.
 
Tarehe 22 Oktoba, 2023 Mhe. Rais alitoa Hotuba mbele ya wageni waalikwa wakati wa kusaini Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya TPA na DP World. Kama kweli yale maneno ya Mhe. Rais yatatekelezwa basi sisi Wananchi tunaona kuwa Bandari inaweza kuchangia kwa asilimia 50 ya Bajeti ya klla mwaka ya nchi yetu. Sisi wananchi tunaitaka Serikali iweke huo Mkataba WAZI kupitia magazeti, tovuti ya Serikali na Tovuti ya Bunge ili tupitie mstari kwa mstari. Ieleweke sisi ndiyo wenye nchi na hata Mhe. Rais yuko pale kwa ridhaa yetu.
 
Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo uwekwe hadharani. Hii ni kwa sababu tunaweza kuwa tumepigwa (zilongwa mbali zitendwa mbali).

Awali Wananchi walimtaka Mbowe aombe nakala ya mkataba huo ili wauone na kujiridhisha kama kilichosemwa ndicho kilichoandikwa .
Badala ya kupambana na SHUGHULI zetu ili kujikwamua KIUCHUMI, tunakazana kuwasikiliza Akina Mbowe ambao hata njaa HAWANA....maana utawakuta Ikulu wakinywa chai na Mama...
 
Back
Top Bottom