Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
He who alleges must prove. Wewe Bams kwa mujibu wa hiyo sheria/ principle ndiye UNAPASWA kutuonyesha ushahidi kuwa SIYO miaka 30 na nchi haina uwezo wa kujitoa.Wewe ni mjinga. Umedanganywa kwa maneno nawe umehadaika. Leta mkataba hapa unaosema mkataba ni wa miaka 30. IGA tumeiona, ipo kwenye maandishi. Hatuwezi kuhadaika na maneno ya mdomoni bila uthibitisho.
Leta hapa IGA inayosema kuwa HGA zitakuwa za vipindi maalum, na kwamba nchi itakywa na uwezo wa kujitoa kqenye HGA wajati wowote itakapoona kuna sababu za msingi za kufanya hivyo.
Sisi wengine siyo wajinga wa kudabganyika kiurahisi kama mnavyodanganywa ninyi. Na tuna access ya kupata uwongo na hadaa zote wanazozjtengeneza.
Kama huwezi kutuonyesha basi wewe ni MZUSHI tu. Kwa kiingereza wewe ni Romour monger