Mimi langu ni kukumbusha wewe, na kupitia kwako kuwakumbusha CHADEMA.umeandika uongo
Hakuna wakati wowote CHADEMA ilipowahi kuwa na nafasi nzuri ya kuiondoa CCM madarakani zaidi ya wakati huu wa Samia.
Juhudi za +255 ni muhimu sana, lakini kuna mambo mengi sana yanayotakiwa kufanywa na chama tokea sasa na kuendelea kuhakikisha kwamba juhudi hizi kwa pamoja zinafanikiwa.
Hizo juhudi nyingine zote zinatakiwa kwenda sambamba na hizi zinazoonekana, tena kwa nguvu na kasi zaidi.
Hilo ndilo ombi langu kuu kwa viongozi wa CHADEMA sasa hivi.