Mbowe siku zote alijua watekaji na wauaji ni nani na kituo chao kipo wapi, hakutaka kusema hadi alipoona itamnufaisha binafsi kisiasa?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa kujitoa katika kikosi hiki, nahisi walipoona kilichokuwa kikifanyika ulikuwa ni udhalimu kwa wananchi, na wao ni Jeshi la Wananchi (JW). Mbowe hata ametaja Mafwele ni moja ya wasimamizi wakuu, na kwamba kituo chao rasmi kiko pale Polisi Chang'ombe uani, ndipo mamia ya Watanzania wamepelekwa na kuteswa, na uamuzi wa kuwaua au kuwaacha waishi ulifanyika pale.

Kilichonishitua sana ni kwa nini mara baada ya kutambua hili Mbowe hakulisema hadharani, na pia kumkabili Raisi na ukweli huu? Kwa mfano, baada ya tamko la Mbowe ni wazi Polisi Chang'ombe wako busy kuondoa ushahidi kabla taasisi za Haki za Binadamu kuwatembelea.

Je Mbowe hakutambua kwamba kama angesema hadharani mapema juu ya jambo hili kuna watu wasingetekwa na kuuwawa, kwa sababu serikali ingekuwa "named and shamed"? Kwa nini amesubiri kulisema hili hadharani hadi sasa, ni kwa ajili tu ameona kulisema sasa litamsaidia kisiasa? Je Mbowe hakumbuki kwamba mara baada ya USA kutoa tamko la Makonda kuwanyima watu haki za kuishi Magufuli aliacha kumtumia Makonda kwenye shughuli hii chafu na ya kikatili? Kwenye taaluma ya ujajusi inasemwa "Makonda was burned".

Kwa hili ninamlaumu sana Mbowe, na kumwona kwamba anafanya mambo kwa faida zake binafsi, sio kwa ajili ya Watanzania.

Na tamko la Mbowe kwa upande wa pili limenisikitisha sana, kwa sababu najua uwepo wa kikosi hiki maalumu ulijulikana na ma-IGP, mawaziri wa mambo ya ndani, ma-RPC na hata raisi mwenyewe, lakini siku zote wamekuwa wakijifanya hawajui kinachoendelea kuhusu watu kutekwa na kuuwawa. Huu ni unafiki wa kiwango ambacho hakivumiliki. Katika demokrasia zilizokomaa serikali yote ilipaswa kujiuzulu na kutoka madarakani. Hili ni jambo zito sana, uuaji wa raia ambao unasema wewe ni kiongozi wao.

Na Watanzania kwa ujumla, fikirieni sana jambo hili; iwapo tuna raisi anavumilia na kuruhusu haya akijua ana uchanguzi mbele kuingia awamu ya pili, atafanya mambo gani akijua yuko katika awamu yake ya mwisho ya uraisi wake? Tafakari sana juu ya hili. Mbele kunaweza kuwa kuna hatari na sintofahamu kubwa sana.

Na JWTZ, tunawapongeza kwa uamuzi wa hekima na busara kujitoa Kikosi Maalum. Hata hivyo, kama mliona Kikosi Maalum ilikuwa ni udhalimu na ukatili kwa wananchi mnaopaswa kuwalinda, basi jukumu la kukomesha na kuwaadhibisha waliohusika na hili, directly au indirectly, liko mikononi mwenu. Chukueni hatua kwa sababu nyie kwa sasa ndio line ya mwisho ya kuwalinda wananchi na nchi kwa yale yanayoendela
 
Mwamba ana agano binafsi na Chief Hangaya.
 
Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Ma hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa kujitoa katika kikosi hiki, nahisi walipoona kilichokuwa kikifanyika ulikuwa ni udhalimu kwa wananchi, na wao ni Jeshi la Wananchi (JW). Mbowe hata ametaja Mafwele ni moja ya wasimamizi wakuu, na kwamba kituo chao rasmi kiko pale Polisi Chang'ombe uani, ndipo mamia ya Watanzania wamepelekwa na kuteswa, na uamuzi wa kuwaua au kuwaacha waishi ulifanyika pale.

Kilichonishitua sana ni kwa nini mara baada ya kutambua hili Mbowe hakulisema hadharani, na pia kumkabili Raisi na ukweli huu? Kwa mfano, baada ya tamko la Mbowe ni wazi Polisi Chang'ombe wako busy kuondoa ushahidi kabla taasisi za Haki za Binadamu kuwatembelea.

Je Mbowe hakutambua kwamba kama angesema hadharani mapema juu ya jambo hili kuna watu wasingetekwa na kuuwawa, kwa sababu serikali ingekuwa "named and shamed"? Kwa nini amesubiri kulisema hili hadharani hadi sasa, ni kwa ajili tu ameona kulisema sasa litamsaidia kisiasa? Je Mbowe hakumbuki kwamba mara baada ya USA kutoa tamko la Makonda kuwanyima watu haki za kuishi Magufuli aliacha kumtumia Makonda kwenye shughuli hii chafu na ya kikatili? Kwenye taaluma ya ujajusi inasemwa "Makonda was burned".

Kwa hili ninamlaumu sana Mbowe, na kumwona kwamba anafanya mambo kwa faida zake binafsi, sio kwa ajili ya Watanzania.

Na tamko la Mbowe kwa upande wa pili limenisikitisha sana, kwa sababu najua uwepo wa kikosi hiki maalumu ulijulikana na ma-IGP, mawaziri wa mambo ya ndani, ma-RPC na hata raisi mwenyewe, lakini siku zote wamekuwa wakijifanya hawajui kinachoendelea kuhusu watu kutekwa na kuuwawa. Huu ni unafiki wa kiwango ambacho hakivumiliki. Katika demokrasia zilizokomaa serikali yote ilipaswa kujiuzulu na kutoka madarakani. Hili ni jambo zito sana, uuaji wa raia ambao unasema wewe ni kiongozi wao.

Na JWTZ, tunawapongeza kwa uamuzi wa hekima na busara kujitoa Kikosi Maalum. Hata hivyo, kama mliona Kikosi Maalum ilikuwa ni udhalimu na ukatili kwa wananchi mnaopaswa kuwalinda, basi jukumu la kukomesha na kuwaadhibisha waliohusika na hili, directly au indirectly, liko mikononi mwenu. Chukueni hatua kwa sababu nyie kwa sasa ndio line ya mwisho ya kuwalinda wananchi na nchi kwa yale yanayoendela
Mbowe kavurugwa anaropoka hata vitu vya kipuuzi,
 
Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa kujitoa katika kikosi hiki, nahisi walipoona kilichokuwa kikifanyika ulikuwa ni udhalimu kwa wananchi, na wao ni Jeshi la Wananchi (JW). Mbowe hata ametaja Mafwele ni moja ya wasimamizi wakuu, na kwamba kituo chao rasmi kiko pale Polisi Chang'ombe uani, ndipo mamia ya Watanzania wamepelekwa na kuteswa, na uamuzi wa kuwaua au kuwaacha waishi ulifanyika pale.

Kilichonishitua sana ni kwa nini mara baada ya kutambua hili Mbowe hakulisema hadharani, na pia kumkabili Raisi na ukweli huu? Kwa mfano, baada ya tamko la Mbowe ni wazi Polisi Chang'ombe wako busy kuondoa ushahidi kabla taasisi za Haki za Binadamu kuwatembelea.

Je Mbowe hakutambua kwamba kama angesema hadharani mapema juu ya jambo hili kuna watu wasingetekwa na kuuwawa, kwa sababu serikali ingekuwa "named and shamed"? Kwa nini amesubiri kulisema hili hadharani hadi sasa, ni kwa ajili tu ameona kulisema sasa litamsaidia kisiasa? Je Mbowe hakumbuki kwamba mara baada ya USA kutoa tamko la Makonda kuwanyima watu haki za kuishi Magufuli aliacha kumtumia Makonda kwenye shughuli hii chafu na ya kikatili? Kwenye taaluma ya ujajusi inasemwa "Makonda was burned".

Kwa hili ninamlaumu sana Mbowe, na kumwona kwamba anafanya mambo kwa faida zake binafsi, sio kwa ajili ya Watanzania.

Na tamko la Mbowe kwa upande wa pili limenisikitisha sana, kwa sababu najua uwepo wa kikosi hiki maalumu ulijulikana na ma-IGP, mawaziri wa mambo ya ndani, ma-RPC na hata raisi mwenyewe, lakini siku zote wamekuwa wakijifanya hawajui kinachoendelea kuhusu watu kutekwa na kuuwawa. Huu ni unafiki wa kiwango ambacho hakivumiliki. Katika demokrasia zilizokomaa serikali yote ilipaswa kujiuzulu na kutoka madarakani. Hili ni jambo zito sana, uuaji wa raia ambao unasema wewe ni kiongozi wao.

Na JWTZ, tunawapongeza kwa uamuzi wa hekima na busara kujitoa Kikosi Maalum. Hata hivyo, kama mliona Kikosi Maalum ilikuwa ni udhalimu na ukatili kwa wananchi mnaopaswa kuwalinda, basi jukumu la kukomesha na kuwaadhibisha waliohusika na hili, directly au indirectly, liko mikononi mwenu. Chukueni hatua kwa sababu nyie kwa sasa ndio line ya mwisho ya kuwalinda wananchi na nchi kwa yale yanayoendela
unamwamini mbowe kwa hayo aliyoyasema?
 
Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa kujitoa katika kikosi hiki, nahisi walipoona kilichokuwa kikifanyika ulikuwa ni udhalimu kwa wananchi, na wao ni Jeshi la Wananchi (JW). Mbowe hata ametaja Mafwele ni moja ya wasimamizi wakuu, na kwamba kituo chao rasmi kiko pale Polisi Chang'ombe uani, ndipo mamia ya Watanzania wamepelekwa na kuteswa, na uamuzi wa kuwaua au kuwaacha waishi ulifanyika pale.

Kilichonishitua sana ni kwa nini mara baada ya kutambua hili Mbowe hakulisema hadharani, na pia kumkabili Raisi na ukweli huu? Kwa mfano, baada ya tamko la Mbowe ni wazi Polisi Chang'ombe wako busy kuondoa ushahidi kabla taasisi za Haki za Binadamu kuwatembelea.

Je Mbowe hakutambua kwamba kama angesema hadharani mapema juu ya jambo hili kuna watu wasingetekwa na kuuwawa, kwa sababu serikali ingekuwa "named and shamed"? Kwa nini amesubiri kulisema hili hadharani hadi sasa, ni kwa ajili tu ameona kulisema sasa litamsaidia kisiasa? Je Mbowe hakumbuki kwamba mara baada ya USA kutoa tamko la Makonda kuwanyima watu haki za kuishi Magufuli aliacha kumtumia Makonda kwenye shughuli hii chafu na ya kikatili? Kwenye taaluma ya ujajusi inasemwa "Makonda was burned".

Kwa hili ninamlaumu sana Mbowe, na kumwona kwamba anafanya mambo kwa faida zake binafsi, sio kwa ajili ya Watanzania.

Na tamko la Mbowe kwa upande wa pili limenisikitisha sana, kwa sababu najua uwepo wa kikosi hiki maalumu ulijulikana na ma-IGP, mawaziri wa mambo ya ndani, ma-RPC na hata raisi mwenyewe, lakini siku zote wamekuwa wakijifanya hawajui kinachoendelea kuhusu watu kutekwa na kuuwawa. Huu ni unafiki wa kiwango ambacho hakivumiliki. Katika demokrasia zilizokomaa serikali yote ilipaswa kujiuzulu na kutoka madarakani. Hili ni jambo zito sana, uuaji wa raia ambao unasema wewe ni kiongozi wao.

Na Watanzania kwa ujumla, fikirieni sana jambo hili; iwapo tuna raisi anavumilia na kuruhusu haya akijua ana uchanguzi mbele kuingia awamu ya pili, atafanya mambo gani akijua yuko katika awamu yake ya mwisho ya uraisi wake? Tafakari sana juu ya hili. Mbele kunaweza kuwa kuna hatari na sintofahamu kubwa sana.

Na JWTZ, tunawapongeza kwa uamuzi wa hekima na busara kujitoa Kikosi Maalum. Hata hivyo, kama mliona Kikosi Maalum ilikuwa ni udhalimu na ukatili kwa wananchi mnaopaswa kuwalinda, basi jukumu la kukomesha na kuwaadhibisha waliohusika na hili, directly au indirectly, liko mikononi mwenu. Chukueni hatua kwa sababu nyie kwa sasa ndio line ya mwisho ya kuwalinda wananchi na nchi kwa yale yanayoendela
CCM
1736591075363.jpg
 
Kwa nchi yeyote vikosi maalumu huundwa kwa amri ya Ikulu...

Hivyo, kama kweli TZ kuna kikosi au vikosi vya namna hiyo basi hata hao JW hawawezi kupinga kwa namna yeyote...
 
Back
Top Bottom