Lisu kichaa.[emoji2] mbona maneno ya ajabu sana haya mpk jiwe kawekwa!, kule nafikiri kuna kitu hakipo sawa lipo jambo linatokota!
Magufuli ameingiaje hapo? Ni mjinga huyu jamaa kama kasema hivyo. Si Bora angemtaja aliyemkamata na kumfungulia kesi za kigaidi na Bado anawateka na kuwauaMwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua amesema Lissu hana cha kumtisha. Amesema pia kutokana na katiba ya CHADEMA yeye ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya chama hicho.
Heee!Umekuja kujiletea mwenyewe,makubwa hayaMagufuli ameingiaje hapo? Ni mjinga huyu jamaa kama kasema hivyo. Si Bora angemtaja aliyemkamata na kumfungulia kesi za kigaidi na Bado anawateka na kuwaua
Mahali pametajwa jina la jiwe kama sio CCM basi mahali hapo sio shwari!😃 mbona maneno ya ajabu sana haya mpk jiwe kawekwa!, kule nafikiri kuna kitu hakipo sawa lipo jambo linatokota!