Pre GE2025 Mbowe: Sikumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na silaha mpaka za kuua, sasa nimuogope Lissu kwa lipi?

Pre GE2025 Mbowe: Sikumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na silaha mpaka za kuua, sasa nimuogope Lissu kwa lipi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua amesema Lissu hana cha kumtisha.

Anasema Lissu ni kuongozi mwenzake na wamepitia mengi, hawawezi kugombana, lakini inapotokea fahafali wawili wanasimama kura itaamua ubishi.

Mbowe amesema hayo alipokuwa akijibu swali aliloulizwa na mwandishi kama anamuogopa Lissu

Amesema pia kutokana na katiba ya CHADEMA yeye ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya chama hicho.
hivi chadema hawawezagi kufanya siasa zao bila kumtaja taja Marehemu Magufuli?
 
Kwaiyo Mbowe ni mjumbe wa kudumu kamati kuu maana yake akitoka yeye watoto wake pia dah apo anacheki maokoto tu milele ata kama hatokuwa mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom