Pre GE2025 Mbowe: Sikumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na silaha mpaka za kuua, sasa nimuogope Lissu kwa lipi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
😃 mbona maneno ya ajabu sana haya mpk jiwe kawekwa!, kule nafikiri kuna kitu hakipo sawa lipo jambo linatokota!
Chadema mahali penye uovu humtaja Magufuli kama shetani
 
Magufuli ameingiaje hapo? Ni mjinga huyu jamaa kama kasema hivyo. Si Bora angemtaja aliyemkamata na kumfungulia kesi za kigaidi na Bado anawateka na kuwaua
Mbowe ni k sana,watu kama hawa nchi nyingine watu wanawapiga risasi hadharani
 
Kwani mbowe ana kwenda wapi na chadema? Ana ng'ang'ania madaraka miaka nenda rudi, kwani hana imani na watu wengine kuongoza chama? hana tofauti na kina Lipumba, cheyo. Hadi vyama vinakufa bado wao ni wenyeviti.

Pisha wengine wajaribu, tunahitaji mawazo na falsafa mpya ya kuongoza chama, nani ana mhitaji mbowe mtu ni mwenye kiti over 20 yrs?
 
Alihamishia biashara zake Dubai kwa sababu gani?
 
😃 mbona maneno ya ajabu sana haya mpk jiwe kawekwa!, kule nafikiri kuna kitu hakipo sawa lipo jambo linatokota!

Kajibu swali kulingana na swali la kipumbavu la muuliza swali...

Muuliza swali katumia neno "ogopa" kama msingi wa swali...
 
Haha ni maneno ya mtu mwenye wa 63 kweli hapa Magufuli ameingiaje?ww siulikimbilia Durban alipofariki mzee ulifanya press conference uchwara ukishangilia kifo cha Magufuli au unajua tulishasau bwasheeee Magufuli alikuwa mwamba
 
Magufuli ameingiaje hapo? Ni mjinga huyu jamaa kama kasema hivyo. Si Bora angemtaja aliyemkamata na kumfungulia kesi za kigaidi na Bado anawateka na kuwaua
Hata mm sijapenda hv hawajui hawa kwa nn wamihusishe magufuli na uovu na hawez kujiteyea watu wanavo provoke wajue na yy ana mke watt na wajukuu hawapendi kusingiziwa why asiseme kikwete au samia waliopo hai kwa mtu mstarabu hapaswi kusema dhamira ambayo haikutendeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…