Pre GE2025 Mbowe siyo mwanademokrasia, kwanini amesusa kuwakabidhi ofisi Lissu na Heche?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na alikuwa anahubiri kuponya majeraha ya uchaguzi iwapo angechaguliwa!

Ajabu yeye anaficha jeraha lake baada ya kushindwa!

Mbowe hakuwahi kuipenda CDM,ni vile tu ilikuwa inamnufaisha kiuchumi.
Anaetakiwa kuponya majeraha ni Lissu yeye ndio kiongozi kwa sasa. Inatakiwa aseme yale niliyozungumza wakati wa kampeni yalikua sio ya kweli.
 
Hao ni wapambe, ila kwa mtu anayeenda kuongoza chama ilikuwa ni damage kubwa sana anafanya. Kamuumiza vibaya Aikaeli.
Kama hakuhusika alikemea? Na alipokuwa anaenda kufanya press hakuwa abusive kwa Lissu? Acheni uchaga wenu wapambe hawawezi kufanya kile ambacho hawajatumwa, na ni Aikael aliyewatuma maana hakuwahi kukemea.

Halafu nionyeshe tusi hata moja ambalo Lissu alimtukana Mbowe
 
Si mlisema Mbowe kachoka awapishe mtatafuta pesa wenyew... Sasa mbona mnajipanua tena kulia lia
 
Chama kina mipesa imekaa kwenye kabati au Bank lkn kwenye Uchaguzi watu wamechangishwa ili kuendesha ushaguzi kweli wewe Nyumbu OG!!!
 
Hiyo siyo demokrasia anayo ihubiri.
Mbowe ni mtu mwenye kisilani, kwa ukomovu wake wa demokrasia mnaomsifia nao alitakiwa amkabidhi ofisi Lissu.
Kwa Sheria ipi au muongozo upi! Why finding cheap issues au sababu ya mazoea ya tengua teua mmezoea kukabidhi na kuachia. What if alimkabidhi katibu Mkuu wa chama Ili ahandover
 
Hata kwenye hotuba yake tundu lissu leo kasema kitu kiutu uzima na kitaalamu kuomba msaada especially wa financial kwa wanachama na wasio wanachama.
Mwenye pesa nyingi amezila amezichomoa kwenye kikoba kaenda kufanya biashara kama alivyosema siku ya uchaguzi
 
Mtu kugoma kukabidhi maana yake ana janga fulani amelificha !
 
Imagine umekulia Masaki unajua kila kitu kuhusu town hadi serikali halafu mnyampaa kutoka maporini huko anakuja kukung'oa kwenye uenyekiti tena kwa uchaguzi wa mara moja tu. INAUMA SANA.
 
Chama kilikuwa na mali gani za kukomba?
 
Kutafuta ," Mafekeche".
 
Yule kapigwa tu kwenye uchaguzi. Hakuwa na namna alitegemea Mizimu ya Yerico.

Hakuna Mwanademokrasi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…