neutralMguno wakheriii wa shariii?
Muulize Tundu Lissu alipoulizwa kwenye press conference majuzi kuhusu ofisi ya Mwenyekiti,akajibu HAJUI ILIPO.Sasa Mbowe atakujaje kukabidhi ofisi ambayo Mwenyekiti Mpya haijui???Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu.
Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga.
Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa tu.
Uongozi mpya unatakiwa kuwa makini sana wale wote wanaopanga kuhujumu na kukwamisha chama waondolewe kwenye chama haraka sana kabla hawajapata muda wa kukivuruga chama.
Umma una matumaini makubwa sana na uongozi wa Lissu kuelekea kuiondoa CCM madarakani 2025.
Soma, Pia: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election
Ndio maana narudia Tena TL na "Bwana Yule" (RIP) ni mapacha kwenye medani ya kisiasa.Hawana kaba,wanaropikwa tu mbele ya kamera.Time will tell.Bw.Mbowe endelea na yako waache wanafunzi wako waliojifanya wamempita Mwalimu wao watafika umbali ganiKwa kweli kwa matusi yale hata mimi nisingeenda. Maana Mbowe aliambiwa mpaka watu wanaotekwa yeye ndio anawauza kama alivyouza chama kwa Mama Abdul. So sad!
Lissu si alisema kwenye press conference majuzi kwamba ofisi ya Mwenyekiti haijui ilipo?Hiyo siyo demokrasia anayo ihubiri.
Mbowe ni mtu mwenye kisilani, kwa ukomovu wake wa demokrasia mnaomsifia nao alitakiwa amkabidhi ofisi Lissu.
Ile ofisi aliye takiwa kumkabidhi mwwnykiti mpya ni katibu mkuuu MBOWE hawezi kabidhi ofisiKatika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu.
Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga.
Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa tu.
Uongozi mpya unatakiwa kuwa makini sana wale wote wanaopanga kuhujumu na kukwamisha chama waondolewe kwenye chama haraka sana kabla hawajapata muda wa kukivuruga chama.
Umma una matumaini makubwa sana na uongozi wa Lissu kuelekea kuiondoa CCM madarakani 2025.
Soma, Pia: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election
Tatizo huwa hamsikilizi , ili swali ameulizwa katibu mkuu na kalitoea ufafanuzi vizuri,Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu.
Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga.
Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa tu.
Uongozi mpya unatakiwa kuwa makini sana wale wote wanaopanga kuhujumu na kukwamisha chama waondolewe kwenye chama haraka sana kabla hawajapata muda wa kukivuruga chama.
Umma una matumaini makubwa sana na uongozi wa Lissu kuelekea kuiondoa CCM madarakani 2025.
Soma, Pia: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election
****📌🔨🔨🔨🔨wale wote wanaopanga kuhujumu na kukwamisha chama waondolewe kwenye chama haraka sana kabla hawajapata muda wa kukivuruga chama.
Ww unacheza naMnyaturu? Mukuriya?chezea machame wewe!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Gaddafi mbowe kadhira
Hata ingekuwa mimi,nisingetia mguu pale wale jamaa walifanya upuuzi wa kiwango cha lami,halafu ndio wanataka kumnunulia gari,Lisu ashindwe kukusanya michango ya gari yake ya Mbowe ndio ataweza.Kwa kweli kwa matusi yale hata mimi nisingeenda. Maana Mbowe aliambiwa mpaka watu wanaotekwa yeye ndio anawauza kama alivyouza chama kwa Mama Abdul. So sad!