Pre GE2025 Mbowe siyo mwanademokrasia, kwanini amesusa kuwakabidhi ofisi Lissu na Heche?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ushauri kwa Lissu na Team yako

Mapandikizi yamo

Msidanganyike na Covid 19, team bia nyama bure. Hawa si wema.

Sio kila anayejiunga chadema ni mwema

Covid 19 hamuwahitaji

Wapenda vya bure wawe wanachama wa kawaida msiwape uongozi wala ukaribu nao.

Tunzeni hili
Shukrani baadae!
 
Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu.

Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga.

Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa tu.

Uongozi mpya unatakiwa kuwa makini sana wale wote wanaopanga kuhujumu na kukwamisha chama waondolewe kwenye chama haraka sana kabla hawajapata muda wa kukivuruga chama.

Umma una matumaini makubwa sana na uongozi wa Lissu kuelekea kuiondoa CCM madarakani 2025.

Soma, Pia: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election
Muulize Tundu Lissu alipoulizwa kwenye press conference majuzi kuhusu ofisi ya Mwenyekiti,akajibu HAJUI ILIPO.Sasa Mbowe atakujaje kukabidhi ofisi ambayo Mwenyekiti Mpya haijui???
Mtu mwenye akili anakaa kimya.Lissu na "Bwana Yule" (RIP)hawajatofautiana sana.Binafsi naona kwa CHADEMA ya Sasa ni Mnara wa Babeli.Mark the date.Ni hayo tu
 
Kwa kweli kwa matusi yale hata mimi nisingeenda. Maana Mbowe aliambiwa mpaka watu wanaotekwa yeye ndio anawauza kama alivyouza chama kwa Mama Abdul. So sad!
Ndio maana narudia Tena TL na "Bwana Yule" (RIP) ni mapacha kwenye medani ya kisiasa.Hawana kaba,wanaropikwa tu mbele ya kamera.Time will tell.Bw.Mbowe endelea na yako waache wanafunzi wako waliojifanya wamempita Mwalimu wao watafika umbali gani
 
Hiyo siyo demokrasia anayo ihubiri.
Mbowe ni mtu mwenye kisilani, kwa ukomovu wake wa demokrasia mnaomsifia nao alitakiwa amkabidhi ofisi Lissu.
Lissu si alisema kwenye press conference majuzi kwamba ofisi ya Mwenyekiti haijui ilipo?
Sasa Mbowe akawakabidhi Nini kama aliyekuwa Makamu wake alisema hayo?
 
Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu.

Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga.

Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa tu.

Uongozi mpya unatakiwa kuwa makini sana wale wote wanaopanga kuhujumu na kukwamisha chama waondolewe kwenye chama haraka sana kabla hawajapata muda wa kukivuruga chama.

Umma una matumaini makubwa sana na uongozi wa Lissu kuelekea kuiondoa CCM madarakani 2025.

Soma, Pia: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election
Ile ofisi aliye takiwa kumkabidhi mwwnykiti mpya ni katibu mkuuu MBOWE hawezi kabidhi ofisi
 
Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu.

Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga.

Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa tu.

Uongozi mpya unatakiwa kuwa makini sana wale wote wanaopanga kuhujumu na kukwamisha chama waondolewe kwenye chama haraka sana kabla hawajapata muda wa kukivuruga chama.

Umma una matumaini makubwa sana na uongozi wa Lissu kuelekea kuiondoa CCM madarakani 2025.

Soma, Pia: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election
Tatizo huwa hamsikilizi , ili swali ameulizwa katibu mkuu na kalitoea ufafanuzi vizuri,

Safari hii mtatembea mnasema peke yenu kwenye vikao
 
wale wote wanaopanga kuhujumu na kukwamisha chama waondolewe kwenye chama haraka sana kabla hawajapata muda wa kukivuruga chama.
****📌🔨🔨🔨🔨
Wanajirudi, wameshaanza kufuata mustari bananyooka na kpiga kwata za gwaride la TAL
**na wanajua tutakamua, bakae pale. SHHH
 
Gaddafi mbowe kadhira
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
una kithembe ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kasira kasira kweli.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Au yumo mwa muvekesheni?
 
Kwa kweli kwa matusi yale hata mimi nisingeenda. Maana Mbowe aliambiwa mpaka watu wanaotekwa yeye ndio anawauza kama alivyouza chama kwa Mama Abdul. So sad!
Hata ingekuwa mimi,nisingetia mguu pale wale jamaa walifanya upuuzi wa kiwango cha lami,halafu ndio wanataka kumnunulia gari,Lisu ashindwe kukusanya michango ya gari yake ya Mbowe ndio ataweza.
 
Kwani katiba yao inasema?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom