Mbowe: Tozo ya benki, wafanyakazi wanakatwa kodi mara mbili, wanaotoza kodi wanaenda kununulia V8 ya milioni 450 au milioni 500

Mtikila mtoe kwenye list. Mtikila hakuwa muoga hata kidogo. Alisimamia kile alichokiamini bila kupindishwa mpaka anakufa. Ni yeye alieendeleza hoja ya serikali tatu, yani Tanganyika, Zanzibar na Jamhuri ya Muungano.
Sema kwa bahati mbaya hakuwa na backup kubwa nyuma yake. I mean hakuwa popular kama wenzake. Lakini kingine, siasa za Tanzania ili ujulikane unatakiwa uwe muongo na mnafiki kwa sana.
 
Akili ya nyumbu.
 
Ni kweli kuwa wananchi ni waoga ila siamini kama Chadema inaweza fanya jambo lolote la maana katika Taifa letu kwa sasa.

Chadema imeshindwa kufanya lolote ilipokuwa ya moto kwa sasa viongozi wake wakuu wamejichokea na kukata tamaa.

Kwani wanachama wa Chadema ni Wakenya?
Au ndo hao Mbowe anaowazungumzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…