Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Mtikila mtoe kwenye list. Mtikila hakuwa muoga hata kidogo. Alisimamia kile alichokiamini bila kupindishwa mpaka anakufa. Ni yeye alieendeleza hoja ya serikali tatu, yani Tanganyika, Zanzibar na Jamhuri ya Muungano.Mbowe ni cheap leader, aliuza utu wake na chama chake ili awe huru, ni kiongozi mwoga sana hawezi kuongoza nchi kama kamanda mkuu, alienda Ikulu mara kadhaa bila ya ushauri wa chama chake lakini na alipotoka jela tu., namfananizia mbowe na kama Mrema au mzee Mtikila kwenye siasa hizi za Tanzania.
Sema kwa bahati mbaya hakuwa na backup kubwa nyuma yake. I mean hakuwa popular kama wenzake. Lakini kingine, siasa za Tanzania ili ujulikane unatakiwa uwe muongo na mnafiki kwa sana.