Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Baada ya kugundua kuwa tumeibiwa kura, je, tumechukua hatua gani? Tumebaki kulialia na kulalamika kwenye mitandao na kuwalaumu viongozi wa siasa.Tanzania imefika hapa kwasababu kura ya mwananchi haina thamani tena.Watawala wana uwezo wa kuiba kura jinsi watakavyo.
Tanzania imefika hapa kwasababu kura ya mwananchi haina thamani tena.Watawala wana uwezo wa kuiba kura jinsi watakavyo.
Mbona mtusi mkuu! Ukumbuke haya ni mawazo tuWakiandamana wakapigwa virungu risasi na kuuawa huwa mnawatukana na kuwaita vibaraka WA mabeberu ,
Umbwa nyie Acha myooshwe Tu ,Mbowe akae atulie ,waTanzania ni umbwa Koko
Kila mtu apambane na Hali yake
Kuwasaidia wabongo ni kazi sana,mtu anajitolea lakini anaowasaidia wala hawana habari na ndio waimba pambio, za kusifu na kuabudu huku wanateketeaWewe ndiye mwenye maono sahihi. Mbowe Hana jeshi .la kumsaidia zaidi ya support toka kwetu wananchi lkn tupo tu kama mazuzu. Mbowe wa watu anafika mahali anachoka
Amejitoleaje wakati ndio kazi yake aliyoichaguaKuwasaidia wabongo ni kazi sana,mtu anajitolea lakini anaowasaidia wala hawana habari na ndio waimba pambio, za kusifu na kuabudu huku wanateketea
Ni kweli kuwa wananchi ni waoga ila siamini kama Chadema inaweza fanya jambo lolote la maana katika Taifa letu kwa sasa.
Chadema imeshindwa kufanya lolote ilipokuwa ya moto kwa sasa viongozi wake wakuu wamejichokea na kukata tamaa.
Baadae atampigia mama simu amwambie asimuelewe vibaya, ameamua kujitokeza ili kuwazubaisha na kuwahadaa wadanganyika, baada ya malalamiko mengi juu ya ukimya wake.
Ni ununuzi wa magari, matengenezo na mafuta Kwa pamoja..
Aliyekwambia kwamba hizo pesa zote hutumika kununua magari na Kwa muktadha huu V8 ni nani?
Huu ni uzushi wa kina Mbowe sawa tuu na waliosema sensa imetunika bil.600 wakati ni bil.400 sawa na sh.6200 kwa kila mtu..
Huu ni ukweli mchungu.
Tusifanye maandamano kuwa ndio hitaji letu tukumbuke kuwa maandamano ni moja tu ya njia ya kuonesha hisia zetu hivyo mimi naamini zipo njia zengine pia za kuonesha hisia zetu tusijifunge na maandamano tu.Is why tuko hapa. Kutoka hamuwezi sababu mmetishiwa virungu, na hili wameshalijua kwahiyo wanajua hamna namna zaid ya social media.
Unadhani kama upinzani siku wakiamua nao kugawa kofia wapiga kura wa upinzani wataongezeka?Ndiyo na kandambili iliyokatika kipande kwa kuchanwa na gwambara. Kavaa tshirt na kofia yenye picha ya mwanamme/mwanamke mwenzake
Wanachama na wapenzi wa chadena kwa ujumla wao wamefanya nini?jibu hilo
[emoji23][emoji23][emoji23]najua unataka kuona hiloL300 wasije wakatupia V8,most of them knows nothing!Ntumie picha yake
Ila unawaamini waliomrudisha? Kweli wajinga wengi eee mungu saidia wasiende kwenye upumbavu.Siamini tena CHADEMA kuanzia pale mulipomuuzia lowassa chama chenu, hadi kuwapoteza zitto na slaa, siasa za tz ni za ovyo sana. usimwamini mwanasiasa. amini nakuambia