Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Na iwe fundisho kwa wote wanaoshangilia vifo vya wengine!. Amebakia yule mtabiri anayetabiria wenzie watakufa lini, utafikiri yeye amezaliwa kuishi milele.
 
Kwa nini Mbowe anauwa kila anauetaka uenyekiti wa chadema? Kama anakubalika sana na wanachama si aruhusu ushindani?
Kamuua nani wewe?
Mbona unajiropokea tuu kwa vile una uhuru wa kusema lolote?
Ugaidi mkamsingizia mkaishia aibu na fedheha mahakamani hadi mnamkimbiza kytoka magereza hadi Ikulu kumuomba radhi!
Hivi Mbowe angekuwa na tuhuma za kweli kama hizo si mnge ita Scotland yard waje wapeleleze mlivyo na hamu naye?
Mnabwabwaja tuu, ooh haondoki madarakani kwani mbamchagua nyie? Katiba ya Chadema haisemi Kiongozi wake atachaguliwa na ccm, so shut the f.u.
 
Mbona hata ukifa wewe kuna watakaoshangilia na kulia. Ni kawaida sana
 
Najua watukutukana sana humu kama kawaida yao, ila kiukweli ilipaswa chadema wazike togauti zao na JPM mara tu baada ya kifo chake, ni ukweli usiopingika JPM alikuwa na wafuasi wengi pengine kulio vyama vote vya siasa, hivyo kifo chake kiliwaacha wafuasi wake njia panda, chadema walipaswa watumie hilo gap vizuri kuhakikisha wanawanyakuwa hawa wafuasa kwa kufuata angalau kwa uchache falsafa za JPM ila wao wakaishia kumtusi hadi leo hii bado wanamuandama kila wanapopanda jukwaani sijui hii ndio sera yao? Yeyeto anayetumia falsafa ya JPM kwenye uongozi wake lazima awe maarufu kisiasa na anapata wafuasi wengi, mfano mzuri ni Makonda. Chadema wanaweza kupotea kabisa wakiendelea kumuuandama JPM.
 

Uko vizuri sana mkuu kwenye uchambuzi wa siasa
 
Yaani hapo kwa Magufuli
Nawaona chadema nao miyeyusho
Siwaelewi wanataka nin
Kwamba wao wakikamata dola watakuwa zaidi magufuli, zaidi ya samia na maraisi wote?
 
Kabla ya kumsuta Mbowe anza na baadhi ya viongozi wa CCM waliofurahia kifo cha mwamba. Uzuri ni kuwa wengi wao wamezungumzia hadharani.
 
Wewe ni nani unaejua kushauri watu wakubwa hivi?
Kwenye family level umewahi angalau kushauri kitu japo cha kujenga choo kweli wewe?
Mbowe anavuna alichopanda!! Wenye akili tunajua CHADEMA imepotea na inakwenda kuzikwa rasmi.

Ndo maana mmebaki kurusha tu picha za mafuriko bila Kuwepo ujumbe wa maana.

Bila kuwarudisha Lissu na Dr Slaa mmekwisha
 
Niumie kwa lipi!
 
Hata nyumbu wenzio watakushangaa ukisema hivi
Magufuli na ushenzi aliokuwa nao kwa wapinzani aliishia kufa mwenyewe na wale aliowadhamiria maovu ndio hao akina Lissu na Mbowe wanaishi na kustawi. Wewe ni mjinga kiasi gani bado unakuwa mfuasi wa mmauti huyu!
 
Hata wewe na fikra zako hizi duni ukiwa rais mbona barabara zitajengwa tu?
 
Hapo ni kama unampigia mbuzi GITAA.mangi yeye anachoangalia ni maokoto tuh,ili mradi mambo yake yanamuendea wee piga kelele wee yeye anakula zake kuku tuh.
 

Umemshukia kama mwewe mjinga yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…