maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Mbowe ndio Mwenyekiti wetu na Rais wetu ajaye... Hanunuliki hata kwa Dola milioni mia... Mungu ampe maisha marefu sana kamanda wetu. Naamini imefika muda wake kuwa kiongozi mkubwa wa nchi yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani weweSawa baba matusi ,mwambie yule nabii wenu ambae alikuwaga mwizi wa magari (Lema) akuombeee walua kinywa chako kionekane ni safi badaya kuwa ni kichafu kuliko choo
Mbowe anainyima usingizi CCMHii issue ya kutaka Mbowe aondoke Chadema inawafanya wengine waanze kuona kuna jambo nyuma ya pazia.
Kwanini kuondoka kwa Zitto ACT imekuwa kama sababu kuu ya kumtaka Mbowe nae aondoke Chadema?
Kuna mahusiano gani kati ya ACT na Chadema mpaka kumtaka Mbowe afanye kile alichofanya Zitto kule ACT?
Na hii hoja ya mleta mada inapata nguvu napoona wale puppet wa watawala ndio wanakuwa mstari wa mbele kumtaka Mbowe aondoke Chadema.
Hata kama Mbowe alishasema ataondoka Chadema, lakini ingependeza hao puppet wajue maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mwenyekiti wa Chadema yatabaki kwa wajumbe wa MM wa chama chao, sio kwa mapenzi ya vibaraka wasiompenda Mbowe.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja.Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.
CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na upinzani wa nchi hii ni CHADEMA. Siku CHADEMA ikifa ndio upinzani umekufa hivyo! Ikumbukwe kuwa kujenga chama imara kama CHADEMA huchukua si chini ya miaka 30.
Tafadhali sana mheshimiwa Mbowe, hatma ya upinzani na demokrasia ya nchi hii vipo mikononi mwako kuliko watu wengi wanavyojua. Hakuna kiongozi mwingine wa upinzani amebaki hai leo hii wote akina Lipumba, Mrema, Zitto, Cheyo, Shibuda, Mbatia na wengine, hao wote ni kundi moja, hawapo tena na hawana ushawishi kwa watanzania, umebaki wewe peke yako na unaangaliwa na watanzania kwa matumaini makubwa.
Siku utakapofanya kosa la kuachia uongozi wa CHADEMA kabla ya 2030, basi siasa za vyama vingi zitarudi zilipoanzia, 1995.
Usiangalie mashinikizo ya watu, kwanza wengi wa hao ni CCM wala si CHADEMA. Kumbuka wewe umetumwa kwa ajili ya Watanzania na wala hujajituma mwenyewe! Tafadhali subiri hadi 2030 na sio vinginevyo!
Sisi wanachama tunasema Mbowe tosha.Hii issue ya kutaka Mbowe aondoke Chadema inawafanya wengine waanze kuona kuna jambo nyuma ya pazia.
Kwanini kuondoka kwa Zitto ACT imekuwa kama sababu kuu ya kumtaka Mbowe nae aondoke Chadema?
Kuna mahusiano gani kati ya ACT na Chadema mpaka kumtaka Mbowe afanye kile alichofanya Zitto kule ACT?
Na hii hoja ya mleta mada inapata nguvu napoona wale puppet wa watawala ndio wanakuwa mstari wa mbele kumtaka Mbowe aondoke Chadema.
Hata kama Mbowe alishasema ataondoka Chadema, lakini ingependeza hao puppet wajue maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mwenyekiti wa Chadema yatabaki kwa wajumbe wa MM wa chama chao, sio kwa mapenzi ya vibaraka wasiompenda Mbowe.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
SHIME MBOWE ONGOZA CHADEMA MILELE WANAOKUKATAA WAJINYONGE UWANJA WA MKAPASisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.
CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na upinzani wa nchi hii ni CHADEMA. Siku CHADEMA ikifa ndio upinzani umekufa hivyo! Ikumbukwe kuwa kujenga chama imara kama CHADEMA huchukua si chini ya miaka 30.
Tafadhali sana mheshimiwa Mbowe, hatma ya upinzani na demokrasia ya nchi hii vipo mikononi mwako kuliko watu wengi wanavyojua. Hakuna kiongozi mwingine wa upinzani amebaki hai leo hii wote akina Lipumba, Mrema, Zitto, Cheyo, Shibuda, Mbatia na wengine, hao wote ni kundi moja, hawapo tena na hawana ushawishi kwa watanzania, umebaki wewe peke yako na unaangaliwa na watanzania kwa matumaini makubwa.
Siku utakapofanya kosa la kuachia uongozi wa CHADEMA kabla ya 2030, basi siasa za vyama vingi zitarudi zilipoanzia, 1995.
Usiangalie mashinikizo ya watu, kwanza wengi wa hao ni CCM wala si CHADEMA. Kumbuka wewe umetumwa kwa ajili ya Watanzania na wala hujajituma mwenyewe! Tafadhali subiri hadi 2030 na sio vinginevyo!
CHIZI NI YULE KUTAWALA MIAKA 62 MPAKA LEO NCHI INAHANGAIKA NA MATUNDU YA VYOO NA MADAWATIMzee Mbowe anaamini kabisa kuwa kutumia siasa za ukabila na ukanda atafanikiwa .Hakika hawa wafuasi wa CDM ni machizi kweli kweli[emoji2297][emoji2297]
Ya Mbowe abaki, uzuri ni kwamba mitego ya ccm inajulikana, na chadema imevuka viwango vya mitego ya ccmSisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.
CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na upinzani wa nchi hii ni CHADEMA. Siku CHADEMA ikifa ndio upinzani umekufa hivyo! Ikumbukwe kuwa kujenga chama imara kama CHADEMA huchukua si chini ya miaka 30.
Tafadhali sana mheshimiwa Mbowe, hatma ya upinzani na demokrasia ya nchi hii vipo mikononi mwako kuliko watu wengi wanavyojua. Hakuna kiongozi mwingine wa upinzani amebaki hai leo hii wote akina Lipumba, Mrema, Zitto, Cheyo, Shibuda, Mbatia na wengine, hao wote ni kundi moja, hawapo tena na hawana ushawishi kwa watanzania, umebaki wewe peke yako na unaangaliwa na watanzania kwa matumaini makubwa.
Siku utakapofanya kosa la kuachia uongozi wa CHADEMA kabla ya 2030, basi siasa za vyama vingi zitarudi zilipoanzia, 1995.
Usiangalie mashinikizo ya watu, kwanza wengi wa hao ni CCM wala si CHADEMA. Kumbuka wewe umetumwa kwa ajili ya Watanzania na wala hujajituma mwenyewe! Tafadhali subiri hadi 2030 na sio vinginevyo!
Tuanzie nani alihesabu hizo kura?Eti apambane na CCM? Mmesahau kuwa mgombea toka ccm ndio aliwapa uhai cdm?mmesahau kuwa mzee alipata kura laki nane tu alipogombea Uraisi na hizo kura laki nane zaidi ya aslimia 90 alizipata toka Arusha na Kilimanjaro ?
1. Mtoto wa Rais wa kwanza ni Mkuu wa Mkoa. Mwingine aliwahi kuwa mbunge.Kwa hiyo mkoo tayari upinzani nao kuendelea kuendeshwa kisultani ehhe ,umesahau kuwa prom anayopewaa Lema na sababu ni binamu yake Mzee Mbowe?yule mrema wa mambo ya nje kao binamu yake mzee mbowe?
Bora kama nawe Jo unatambua hilo,ila ambacho bado kujua ni kama ccm ipo kwenye coma,na kuzinduka mwiko,hiyo ndio Nitole tena🏃♂️🏃♂️🏃♂️🤸🤸🤸Dunia inatambua Tanzania kuna vyama viwili Vya Siasa CCM na Chadema 🐼
Samia akisema aendelee kutawala hata baada ya miaka yake ya kikatiba kuisha, mtakubali pia?Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.
CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na upinzani wa nchi hii ni CHADEMA. Siku CHADEMA ikifa ndio upinzani umekufa hivyo! Ikumbukwe kuwa kujenga chama imara kama CHADEMA huchukua si chini ya miaka 30.
Tafadhali sana mheshimiwa Mbowe, hatma ya upinzani na demokrasia ya nchi hii vipo mikononi mwako kuliko watu wengi wanavyojua. Hakuna kiongozi mwingine wa upinzani amebaki hai leo hii wote akina Lipumba, Mrema, Zitto, Cheyo, Shibuda, Mbatia na wengine, hao wote ni kundi moja, hawapo tena na hawana ushawishi kwa watanzania, umebaki wewe peke yako na unaangaliwa na watanzania kwa matumaini makubwa.
Siku utakapofanya kosa la kuachia uongozi wa CHADEMA kabla ya 2030, basi siasa za vyama vingi zitarudi zilipoanzia, 1995.
Usiangalie mashinikizo ya watu, kwanza wengi wa hao ni CCM wala si CHADEMA. Kumbuka wewe umetumwa kwa ajili ya Watanzania na wala hujajituma mwenyewe! Tafadhali subiri hadi 2030 na sio vinginevyo!
Hata kile cha akina Mzito Kabwela ni binafsi pia🤓Ndio maana tunasema Chadema ni chama cha mtu binafsi